Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Kiongozi mkuu mkazi wa Hamas,Yahya Sinwar amekuwa akiongoza majadiliano kwa umakini kwa kushirikiana na kiongozi mwenzake wa kisiasa Ismail Haniye aliyeko Qattar.
Majadiliano hayo yanayosimamiwa na Marekani na Qattar kuhusu vita baina ya wapalestina na Israel yametajwa kukaribia kufikia ukingoni.
Ulimewengu unasubiri kwa hamu kujua namna vita vitavyosimamishwa na kupatikana kwa mateka wa Israel na wachache kutoka mataifa ya kigeni.
Yahya Sinwar aliwahi kukaa magerazani ndani ya Israel kwa miaka 27 kabla ya kuachiwa huru yeye na wenzake 1000 mwaka 2011 kubadilishana na askari wa Israel aliyetekwa Gazza,Gilad Shalit.
Kutokana na hasira Israel ilizonazo katika vita vya takriban miezi 2 bila kumpata mateka hata mmoja akiwa hai ni wazi kuwa makubaliano hayo itayavunja mapema na vita vitaendelea kwa kasi kwa mara nyengine.