Aliyepewa jina la mfu anayetembea, Yahya Sinwar anaongoza mjadala wa kusimamisha vita mwenyewe akiwa Gaza

Hamas aka "wavaa kobaz" fomeshen wanayoitumia ni ya kupak basi "Mourinho style" na wanashambulia kwa kushtukiza km wakipata upenyo na upande wa wateule wa mungu wao wanatumia stail ya kumilik mchezo mwanzo mwisho "la masia style"

Taifa teule lina hali tete ukizingatia deni la taifa linazid kupanda na ktk baadh ya maeneo uzalishaj na shughul za kijamii zimesimama uchumi wa mtu mmojammoja umetetereka na Hamas nao wanakabia juu hawatak kufanya makosa
 
Ushindi upo karibu
 
Kwa hyo Israeli lihakikisha adui yake namba moja anapona sio
alishakaa hata gerezani kitambo sana huyo, wangetaka kumuua wangeshamuulia mbali kitambo, na alitibiwa kwenye hospitali za israel. hapo ndio uone utofauti wa Mungu wa Israel na Mungu wa waarabu.
 
F_dG2CDWUAAM_AA.jpeg

wenyewe kwenye website yao wanasema, Hamas leadership7 dead 13 to go + the billionaires in Qatar
 
kama haujui, huyu aliwahi kubutuliwa, akapelekwa hospitali za israel wakamfanyia operation hadi akapona, ndio maana ni mzima leo hii.
wana akili za mamba: mamba hata umpatie kuku za kukaanga milion mia saba lakini ujue bado anakuvizia mtoni ukitaka kuvuka!
 
Back
Top Bottom