Aliyepigwa ngumi akiomboleza msiba wa Lowassa kutua Monduli

Aende wakammalizie kabisa jinga kweli bora ndugu zake wangemfanya msukule wajipatie utajiri.
Mbona kijana hajakosea
Alienda msibani ni mambo ya hisia tu
Labda alikuwa na machungu sana
Kwani pale cha thamani ni nini?
Mwili wa Lowasa unakuwaje na thamani kuliko raia hai
Askari hawana mafunzo ya kudeal na watu wakiwa kwenye majonzi au furaha sana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upumbavu mtupu, ila wakati wakitaka kura yangu wanakuja huku lingusenguse na kunywa nao ulanzi
 
Kiherehere cha nini kwenye msiba usiokuhusu!
 
Yule mlinzi nae ni mlevi Koko vile vile! Ile kazi haimfai angekua na silaha angeweza hata kuua raia aliyejichokea na mapombe yake Hana kazi ya kufanya akaamua kupoteza muda barabarani kushangaa mzoga
 
Askari/Mlinzi mshambuliaji apatikane na Sheria ichukue mkondo wake. Huo ulikuwa ni msiba mzito wa Kitaifa, Haukuwa ni msiba wa kuoneshana ubabe au kutunishiana misuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…