Aliyepigwa ngumi hana akili na mpiga ngumi ni tahira

Ingekuta mm pange chimbika walai lzm msafara ule ungesimama kuona mkono ukipigwa
 
Watu wa protocol wanaelewa.......
 
Siku nyingine msiende wacheni na misiba yao, pengine nyie haiwahusu mwajipendekeza
 
ile ilikuwa proffessional attack
nasikia jamaa katangulia
Acha kamba, jamaa yuko Kijijini kwa Lowasa nimemuona anafuna nyama, yuko njema kabisa. Yule mlinzi ni hovyo kabisa na inafaa afukuzwe kazi, hajui kabisa taaluma yake. Tumeshawahi kuona Kijana alimpiga mzee Mwinyi kibao lakini alidakwa vizuri tuu bila purukushani na walinzi. Pia tuliona yule jamaa aliyemrushia rais Bush wa Marekani viatu, yaani kiatu cha kwanza, then cha pili (Bush naye commando maana alikwepa vyote hahaaaa) but walinzi walim contain vizuri tuu.
 
Hiyo ya Mtwara ya mapolisi kuuana sijaisikia!
 
Gumi la kanzola achana nalo, ni ngumi wanaitumia sana polisi wa msumbiji.
Kanzola ndio kiswahili cha kileo, okay, sikujua.

basi kwa Kiingereza hilo gumi linaitwa sucker punch

sucker punch,
ni shambulio la kikuda lisilo na taarifa kwa mwenzio kwamba sasa tunachapana

linatumiwa na mashoga wasiojiamini kusimama uso kwa uso piga nikupige

lingekuwa ni gumi la maana usingesema linatumiwa na polisi wa Msumbiji, third world la mwisho duniani ambako polisi wamezoea kuonea raia wasio na silaha, akitokea mwamba mwenzao kama gaidi wa Capo Delgado majeshi ya nchi hizi huwa yanatolewa kamasi na kuishia kuomba msaada Rwanda, of all the places
 
Kibaka ata wa sindano ni wa kuua tena kikatili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…