Je mda huo wa maandamano angeenda kusifu na kuabudu..
Just imagine kama ni mtu wa imani unakufa kwa kupigwa risasi kisa uliandamana kugombea haki yako..
Huko juu sio kama utaenda.peponi laaa hasha mziki wa zambi upo pale pale.
Kijana mwenzangu be cool tulia tulia kila.kitu kima.muda wake.
Usiendeshwe na mihemko as if ww ni wa iringa ndani ndani. Tulia fanya mambo kwa utashia...
Kupambana na serikali its to risk ni bora ukapambane kufanya kazi za kuvuja jasho ujenge future yako