Pre GE2025 Aliyepinga Rais Samia kupitishwa Mgombea pekee wa Urais kupitia CCM afukuzwa uanachama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nimecheka kwa nguvu vibaya sana. Ccm demokrasia kwao ni jambo wanalazimisha, na hakuna kitu kimewauma kama uchaguzi wa kidemokrasia ya kweli ya uchaguzi wa cdm juzi. Na huyo mwanachama ajiandae kuhujumiwa shughuli yake ya kumuingizia kipato.
Mkutano mkuu wa CCM una mamlaka ya kuamua juu ya mgombea Urais wao!! Harakati Za kitoto zinatia aibu!
 
Masisiyemu hayana akili
 
NIMEFURAHISHWA SANA KWA JINSI ALIVYOTIMULIWA NA CHAMA, HUU NI UTOVU WA NIDHAMU KWA VIONGOZI WAKUU WA CHAMA NA KAMATI KUU NA HALMASHAURI KUU, NIMEFURAHI NA PEPSI BARIDI IMENIHUSU KWA FURAHA, KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
N. B/ WARNING, Yeyote atakayejaribu kidhihaki vikao na maamuzi ya mkutano mkuu, +halmashauri kuu, CCM WILL QUIT NO MATTER WHO IS WHO!
 
Umefurahishwa Sana eehh!

Rejea Mafunzo ya Manabii wa kale,

Mithali 29 : 1- 2

Aonywaye mara nyingi akishupaza shingo, Atavunjika ghafula, wala hapati dawa.
Wenye haki wakiwa na amri, watu hufurahi; Bali mwovu atawalapo, watu huugua.
 

Attachments

  • 5777675-245a16d1a646e1c5265c1678e4e73a60.mp4
    1.4 MB
Ccm hamna chama pale, kiko radhi kufukuza akili kubwa ili wabaki na vilaza (machawa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…