Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Mfuatano wa matukio haukufuatwa kikatiba!Mkutano mkuu wa CCM una mamlaka ya kuamua juu ya mgombea Urais wao!! Harakati Za kitoto zinatia aibu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfuatano wa matukio haukufuatwa kikatiba!Mkutano mkuu wa CCM una mamlaka ya kuamua juu ya mgombea Urais wao!! Harakati Za kitoto zinatia aibu!
Ratiba haipangwi na katiba! Watanzania acheni ujuaji wa kipumbavu!! Mjumbe yeyoye wa mkutano mkuu anayo mamlaka kikatiba wa kutoa hoja au ajenda mbele ya mkutano mkuu mkuu ijadiliwe na kukubaliwa na wajumbe. Alichofanya Adam kimbisa kilikua halali kwa mujibu wa katiba yao.Mfuatano wa matukio haukufuatwa kikatiba!
Kama mambo yamewekewa utaratibu wake kikatiba ni lazima kwanza mkutano Mkuu utengue kifungu/vifungu husika vya Katiba na kufanya hayo maamuzi yaliyo kinyume cha kifungu/vifungu husika vya Katiba.Ratiba haipangwi na katiba! Watanzania acheni ujuaji wa kipumbavu!! Mjumbe yeyoye wa mkutano mkuu anayo mamlaka kikatiba wa kutoa hoja au ajenda mbele ya mkutano mkuu mkuu ijadiliwe na kukubaliwa na wajumbe. Alichofanya Adam kimbisa kilikua halali kwa mujibu wa katiba yao.
Kipi kimefanyika kinyume? Mkutano mkuu umeamua Samia agombee kifuatacho ni kukamilisha procedures tu!! Si Tanzania tu hata huko duniani ilikokomaa demokrasia sitting president huwa na direct ticket ya kugombea awamu ya pili!! Someni kabla ya kuja na lawama zenu zilizojaa utoto, upumbavu na unyani.Kama mambo yamewekewa utaratibu wake kikatiba ni lazima kwanza mkutano Mkuu utengue kifungu/vifungu husika vya Katiba na kufanya hayo maamuzi yaliyo kinyume cha kifungu/vifungu husika vya Katiba.
Kuna tatizo la kiufundi CCM mnajifanya hamlioni. Kwanza Urais wa Samia hautokani na Samia kuchaguliwa na Wana CCM wenzie kuwa mgombea wao kwenye uchaguzi wa mwaka 2020.Kipi kimefanyika kinyume? Mkutano mkuu umeamua Samia agombee kifuatacho ni kukamilisha procedures tu!! Si Tanzania tu hata huko duniani ilikokomaa demokrasia sitting president huwa na direct ticket ya kugombea awamu ya pili!!
Unaelewa maana ya mgombea mwenza?Kuna tatizo la kiufundi CCM mnajifanya hamlioni. Kwanza Urais wa Samia hautokani na Samia kuchaguliwa na Wana CCM wenzie kuwa mgombea wao kwenye uchaguzi wa mwaka 2020.
Kwa ivo Samia Hana sifa ya kuitwa Rais aliyeechuguliwa anatakiwa aendelee kugombea mhula mwingine bila ya kupata mpinzani.
Wana CCM walimchagua John Magufuli ambaye yeye ndiye alimpendekeza Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea mwenza wake.
Kwa ivo Samia hana sifa mnayosema anayo.
Halafu mkutano Mkuu hauna mamlaka yoyote ile ya kuvunja Katiba Kwa kuacha kufuata kifungu chochote kile cha Katiba.
Mgombea mwenza siyo mgombea Urais. Hapo wewe huoni kama Kuna utofauti?Unaelewa maana ya mgombea mwenza?