Aliyepora Kofia aliandaliwa na Diamond Mwenyewe

Diamond anajua kujitengenezea Matukio ili kuzidi ku trend. Hata tukio la kuporwa kofia juzi ni la kutengeneza. Ukiangalia uchukuaji wa video utagundua ni movie tu, yaani pale alikosekana tu yule anayesema " Action!!!". Na hata baada ya Diamond kuingia ndani ya gari nakuanza kuchukuliwa video utamuona anapoongea na kulalamika alionekana kumuangalia mchukuwa video kwa kuibiaibia halafu anafoka na kumuelekeza Onesmo kuhakikisha anarudi na kofia ile.

Japo amefanikiwa na ime trend sana.

Najipongeza kwa kuwa nipo katika kundi dogo sana la watu makini wasiodanganyika kirahisi.
Mare speculation, hujaweka ushahidi!
 
Muhuni, mnyonyaji, kupe! Inakuwaje anamhujumu Konde boy. Very soon atakuwa desperate na he will come down kwa kila kitu. Konde boy alichokifanya kama jeshi kweli ana moyo sana wa utu. Diamond chawa wamemharibia sana na yeye hakutumia akili. Idiot kabisa
 
Halafu ki kofia chenyewe dollar 20, Eti mmiliki wa ndege., kumbe ndege yenyewe kakodisha tu.Ngozi nyeusi tuna shida sana ndio maana wanatuona manyani yaliochangamka 😂 😂 😂 😂
 
Aiji
Diamond anajua kujitengenezea Matukio ili kuzidi ku trend. Hata tukio la kuporwa kofia juzi ni la kutengeneza. Ukiangalia uchukuaji wa video utagundua ni movie tu, yaani pale alikosekana tu yule anayesema " Action!!!". Na hata baada ya Diamond kuingia ndani ya gari nakuanza kuchukuliwa video utamuona anapoongea na kulalamika alionekana kumuangalia mchukuwa video kwa kuibiaibia halafu anafoka na kumuelekeza Onesmo kuhakikisha anarudi na kofia ile.

Japo amefanikiwa na ime trend sana.

Najipongeza kwa kuwa nipo katika kundi dogo sana la watu makini wasiodanganyika kirahisi
Alikuwa anazima kelele na trend za gigy money😂😂
 
Diamond anajua kujitengenezea Matukio ili kuzidi ku trend. Hata tukio la kuporwa kofia juzi ni la kutengeneza. Ukiangalia uchukuaji wa video utagundua ni movie tu, yaani pale alikosekana tu yule anayesema " Action!!!". Na hata baada ya Diamond kuingia ndani ya gari nakuanza kuchukuliwa video utamuona anapoongea na kulalamika alionekana kumuangalia mchukuwa video kwa kuibiaibia halafu anafoka na kumuelekeza Onesmo kuhakikisha anarudi na kofia ile.

Japo amefanikiwa na ime trend sana.

Najipongeza kwa kuwa nipo katika kundi dogo sana la watu makini wasiodanganyika kirahisi.
Mbona tulishamshitukia kitambo, dogo anapenda kuzungumzwa na bahati mbaya asilimia kubwa ya mashabiki wake ni mazwazwa waaminio kila ujinga aufanyao kuwa ni maajabu. Wahenga walisema, wajinga waliwao.
 
Back
Top Bottom