Konde boy kahujumiwa nini?Muhuni, mnyonyaji, kupe! Inakuwaje anamhujumu Konde boy. Very soon atakuwa desperate na he will come down kwa kila kitu. Konde boy alichokifanya kama jeshi kweli ana moyo sana wa utu. Diamond chawa wamemharibia sana na yeye hakutumia akili. Idiot kabisa