Aliyepora Kofia aliandaliwa na Diamond Mwenyewe

Konde boy kahujumiwa nini?
 
Na kikawaida huwezi kuibiwa kofia kwenye umati ukaipata.

Alivuliwa cheni Mtwara na hakumaindi itakuwa kofia? Au kofia ina gharama kuliko cheni?
 
Ushuzi mtupu!
Yaan bongo UJUAJI mwingi
Ushamba, ujinga, chuki, wivu, umaku,
Ndy maana umasikini ni mwingi
Sasa hapo unajisifu huwezi kudanganyika alafu unajidanganya mwenyewe,
Kweli akili ni nywele lakini sio Kila nywele ni akili, mengine ni mavuzi mkuu.
 
Kweli bongo tumeachiwa Ujinga. Yaani we mbwiga eti unajipongeza kwa kutokudanganyika na na kitu hicho kisicho na maana yoyote ktk maisha yako?. Unaanzisha na Uzi eti unajipongeza....! Daah...! Nimejisikia aibu
 
😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…