Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Kuna clip inasambaa kwamba wananchi wameitwa kwa Mhe. Rais huko Zanzibar kupewa zawadi ya Idd, mmoja wa wananchi hao ameonyesha kukerwa na kitendo cha kupewa bahasha yenye Tsh. 5,000 akidai hata gharama alizotumia kufuata hiyo elfu tano ni kubwa.
Kwa mfumo tulionao usishangae akakamatwa kwa kueleza uhalisia japo hakuna sheria ya nchi iliyovunjwa. Nachukua fursa hii kuwaomba vyombo vya dola badala ya kuangaika na huyu aliyesema ukweli wahangaike na aliyeweka elfu 5 kwenye bahasha. Naamini kuna upigaji mkubwa kwenye zoezi hili na hapo ndipo utabaini kwenye pesa hata imani zinatingishwa.
Lakini tujiulize huu utamaduni wakutoa pesa ulikuwepo au umetokea kuelekea uchaguzi? Sheria ya kupambana na rushwa nchini inasemaje? Kama ipo kimya haiwekzekana watu wakaanza kugawa fedha kwa wananchi kama ilivyokuwa kipindi cha JK? Kama wakigawa wanazitoa wapi? Je, mfumo mkuu wa hazina utakuwa salama?
==
Pia soma
Zanzibar: Wadaiwa kuitwa Mgogoni kwa Rais Samia na kupewa msaada wa Tsh. 5,000