Aliyerekodi video ya mapenzi na Wema iliyovuja adai bibi yake amefariki kwa presha baada ya kuiona

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Model anayeitwa Calisah amedai video yake ya kimapenzi na wema iliyovuja imemsababishia majanga makubwa sana ikiwepo bibi yake kufariki kwa presha mara baada ya kuona hiyo video
pia amesema kuna mkataba wake na Oxfoam upo hati hati kuvunjika mara baada ya video hiyo
na amechanganyikiwa kwa sasa hivi
 
Baada ya video ya faragha kati ya wema sepatu na calisah kuvujishwa na watu wasiojulikana katika mtandao wa instagram imesababisha bibi yake calisah kufariki dunia kwa presha

Hayo yamesemwa na Calisah mwenyewe wakati akihojiwa na soudy brown
Mda sio mrefu katika kipindi cha xxl...yo..heard

Calisah akiongea kwa uchungu wakati akihojiwa na sudy amesema kuvuja kwa video hiyo ndio chanzo cha kupoteza uhai wa bibi yake kwa mshtuko wa moyo
 
MIMI NATAKA KUJUA TU, CALISAH ALILIPWA SHS NGAPI? NA WEMA NAE ALIPEWA SHS NGAPI...ILE YA KIM KARDASHIAN NA YULE RAPPER ILIVYOVUJA WALILAMBISHWA $ 1 MILIONI KILA MMOJA...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…