Aliyerekodi video ya mapenzi na Wema iliyovuja adai bibi yake amefariki kwa presha baada ya kuiona

Aliyerekodi video ya mapenzi na Wema iliyovuja adai bibi yake amefariki kwa presha baada ya kuiona

Huyo kijana atakuwa anatafuta kik mapicha yao mengine haya[emoji116]
cd4c51743e590d80cd822db326078f7d.jpg
3c0d8071c62b9b000deb04c31bc3fd29.jpg

-NDUMILAKUWILI-
 
Ha ha ha nmecheka sana eti bibi kafariki kwa presha lol!!!!!
Naona kimenuka, calisah ataachwa soon..... WHO'S THE NEXT
Screenshot_2016-11-14-15-44-31.png
 
vinatudanganya sana hivi visaka umaarufu kwa nguuvu.. wakamuulize mwenzao mziwanda kaishia wapi..
Hawa wanaona watu wote wajinga......

Wameilikisha makududi kutaka umaarufu mavi

Haya ainjoi his 15 minutes of fame

Useless bwoi
 
Taarifa niliozipata hivi punde kutoka kwa watu wa karibu na huyu Calisah ni chichamwiba yaani nusu punga.. Labda hapo baade Wema anaweza kutupa ushuhuda
 
Niliwahi kusema humu baada ya kumuona huyo kijana,niligundua ana dalili kama 9 hivi za ushoga
 
Taarifa niliozipata hivi punde kutoka kwa watu wa karibu na huyu Calisah ni chichamwiba yaani nusu punga.. Labda hapo baade Wema anaweza kutupa ushuhuda
Mkuu
[blue]chichamwiba[/blue]
Cjakuelewa
 
Kik kik kik huyo mi namuona sawa na gigy money akili zao
 
Back
Top Bottom