Aliyerekodi video ya mapenzi na Wema iliyovuja adai bibi yake amefariki kwa presha baada ya kuiona

Aliyerekodi video ya mapenzi na Wema iliyovuja adai bibi yake amefariki kwa presha baada ya kuiona

Baada ya video ya faragha kati ya wema sepatu na calisah kuvujishwa na watu wasiojulikana katika mtandao wa instagram imesababisha bibi yake calisah kufariki dunia kwa presha

Hayo yamesemwa na Calisah mwenyewe wakati akihojiwa na soudy brown
Mda sio mrefu katika kipindi cha xxl...yo..heard

Calisah akiongea kwa uchungu wakati akihojiwa na sudy amesema kuvuja kwa video hiyo ndio chanzo cha kupoteza uhai wa bibi yake kwa mshtuko wa moyo

Video wamechukua wenyewe wakaamua kushare wenyewe waache kutuzuga promo za ki.to...to sana
 
Kwa mama Wema hiyo video ni ushindi na imemuongezea ujasiri wa kujitokeza hadharani kama mama mzazi wa WEMA SEPETU.
 
Back
Top Bottom