Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Ha ha ha ha haKesho saa saba SHILAWADU wanaweza kutokea msibani na drone yao bila kusaha soudy na Sox yake usoni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha ha haKesho saa saba SHILAWADU wanaweza kutokea msibani na drone yao bila kusaha soudy na Sox yake usoni.
Mjinga ni mjinga tuMlumumba mwenzetu huyu lakini tena aligombea viti maalum na alikuwa bega kwa bega na makamu
Haahahahahaahahahhahaha..Huu ubuyu umechukua maisha ya bibi yake calisa.
In short wema kaua.
Baada ya video ya faragha kati ya wema sepatu na calisah kuvujishwa na watu wasiojulikana katika mtandao wa instagram imesababisha bibi yake calisah kufariki dunia kwa presha
Hayo yamesemwa na Calisah mwenyewe wakati akihojiwa na soudy brown
Mda sio mrefu katika kipindi cha xxl...yo..heard
Calisah akiongea kwa uchungu wakati akihojiwa na sudy amesema kuvuja kwa video hiyo ndio chanzo cha kupoteza uhai wa bibi yake kwa mshtuko wa moyo
hahaaaaaaaaaaaa u must be mangihuwa wanapataje akil za kushika simu na kujirekodi,nikiwa kwenye hiyo mambo huwa sikumbuk hata sim ilipo labda wallet.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]hahaaaaaaaaaaaa u must be mangi