Aliyerekodi video ya mapenzi na Wema iliyovuja adai bibi yake amefariki kwa presha baada ya kuiona

Aliyerekodi video ya mapenzi na Wema iliyovuja adai bibi yake amefariki kwa presha baada ya kuiona

Yule Dada ni kama ana asali hata member wa humu wanaomponda ila ikitokea akawapa watakula vizuri kabisa
 
Wema alikuwa amesuka mabutu nini alipokwa bed na huyo chalii?...hawa madem wa mwendokas ovyo sana..naanza ona kick inasakwa..
 
Kuna siku Wema alivaa dera la kijani eti anawania ubunge wa viti maalum....mwe! jamani watanzania tuna vivutio vingi vya utalii!
Sasa kama ni kwa CCM unashangaa nini?
 
Bibi Kastuka maana ipo wazi kuwa Mjukuu wake kishaukwaa...

kaona bora atangulie zake kuliko kuja kumfulia nepi Mjukuu wake akishakuwa na kilo mbili.
 
MAHABA NIUE
MTU MPO WAWIL MNAGONGA SHOW HUKU MKIJIRECOD THEN ETI VIDEO INAVUJA!
we Calisa acha kuzingua bhana Mmeamua wenyewe ivuje ili mtengeneze Scandal ya kwenye magazet pamoja na social media.
Kila sikh tuskiage tuu Wema mara kafanya hivi mara Vile.
Yani hii tabia ishakuwa kero.

Watu tunawaza mambo ya msingi; Ela zetu tulizochanga za Tetemeko la Ardhi Kagera
Serikali inazigonga nyie bado Mnaendeleza Utoto.
Pumbavu.....
 
Huyo marehemu ni mpuuzi Kabisa. Unakufa kufaje kijinga jinga. Kwani hajawahi kuona Management by objective (mbo)? Pu.mbavu zake na atanitambua nikimkuta jehanamu
 
Wewe unashangaa wanaume wanaomtaka Wema?
sasa utashangaa wasichana kama wewe watakaomtaka huyo Calisah badaa ya kuwa na Wema
hata wengine wataenda wenyewe kujirekodi na huyo Calisah na kurusha mtandaoni
wanasema kila binadamu ana kichaa cha aina fulani

Kuna watu hawalali wakimuwaza Shilole au Gygymoney ...
na kuna wamama hawalali wanamuwaza Kingwendu
mradu 'dunia uwanja wa fujo' walisema wahenga
hiyo kingwendu imenichekesha sana
 
Model anayeitwa Calisah amedai video yake ya kimapenzi na wema iliyovuja imemsababishia majanga makubwa sana ikiwepo bibi yake kufariki kwa presha mara baada ya kuona hiyo video
pia amesema kuna mkataba wake na Oxfoam upo hati hati kuvunjika mara baada ya video hiyo
na amechanganyikiwa kwa sasa hivi

ni ujinga jaz
 
Back
Top Bottom