wise-comedian
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 3,293
- 3,945
Hawa wanaona watu wote wajinga......vinatudanganya sana hivi visaka umaarufu kwa nguuvu.. wakamuulize mwenzao mziwanda kaishia wapi..
Hii ni kiki tu hakuna issuehuwa wanapataje akil za kushika simu na kujirekodi,nikiwa kwenye hiyo mambo huwa sikumbuk hata sim ilipo labda wallet.
MkuuTaarifa niliozipata hivi punde kutoka kwa watu wa karibu na huyu Calisah ni chichamwiba yaani nusu punga.. Labda hapo baade Wema anaweza kutupa ushuhuda
Unataka nipigwe ban.. maaana yake anapiga na kupigwaMkuu
[blue]chichamwiba[/blue]
Cjakuelewa
Heeeee!Unataka nipigwe ban.. maaana yake anapiga na kupigwa