Aliyerekodi video ya mapenzi na Wema iliyovuja adai bibi yake amefariki kwa presha baada ya kuiona

Yule Dada ni kama ana asali hata member wa humu wanaomponda ila ikitokea akawapa watakula vizuri kabisa
 
Wema alikuwa amesuka mabutu nini alipokwa bed na huyo chalii?...hawa madem wa mwendokas ovyo sana..naanza ona kick inasakwa..
 
Kuna siku Wema alivaa dera la kijani eti anawania ubunge wa viti maalum....mwe! jamani watanzania tuna vivutio vingi vya utalii!
Sasa kama ni kwa CCM unashangaa nini?
 
Bibi Kastuka maana ipo wazi kuwa Mjukuu wake kishaukwaa...

kaona bora atangulie zake kuliko kuja kumfulia nepi Mjukuu wake akishakuwa na kilo mbili.
 
MAHABA NIUE
MTU MPO WAWIL MNAGONGA SHOW HUKU MKIJIRECOD THEN ETI VIDEO INAVUJA!
we Calisa acha kuzingua bhana Mmeamua wenyewe ivuje ili mtengeneze Scandal ya kwenye magazet pamoja na social media.
Kila sikh tuskiage tuu Wema mara kafanya hivi mara Vile.
Yani hii tabia ishakuwa kero.

Watu tunawaza mambo ya msingi; Ela zetu tulizochanga za Tetemeko la Ardhi Kagera
Serikali inazigonga nyie bado Mnaendeleza Utoto.
Pumbavu.....
 
Huyo marehemu ni mpuuzi Kabisa. Unakufa kufaje kijinga jinga. Kwani hajawahi kuona Management by objective (mbo)? Pu.mbavu zake na atanitambua nikimkuta jehanamu
 
hiyo kingwendu imenichekesha sana
 
ni ujinga jaz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…