FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Siku hizi ili upate likes ni uiponde serikali.Ungeweza kutoa mawazo yako mazuri tu, bila kuzarau watu.
Utopolo wa police (traffic unit), tanroads, na wengineo, those days of songas it perished sasa imerudiHivi kuna faida gani kutumia bilioni 300 kujenga Ubungo flyover ili kuondoa foleni halafu tunakuja kuruhusu kituo cha daladala mdomoni kabisa mwa flyover ambapo gari ndio zinaingilia?
Kitendo cha daladala kuingia na kutoka kwenye kituo hiki inasababisha magari kushindwa kabisa kuflow kama inavyopaswa, maana mengine hushusha na kupakia katikati ya barabara kutokana na kukosa nafasi kituoni.
Hii inaleta foleni kali sana kuanzia external hasa siku zenye malori mengi, unakuta mbele kwenye flyover ni kweupe hadi Mwenge, ila kurudi nyuma hadi Mwananchi kuna foleni kali!
Huko Mirembe hakuna ulinzi wa kutosha?!
Ungeweza kutoa mawazo yako mazuri tu, bila kuzarau watu.
Nania amedharauliwa hapo? nynyi ndio watu wa kupuliza ili makosa ya kijinga tuyaone ya kawaida.Ungeweza kutoa mawazo yako mazuri tu, bila kuzarau watu.
Nani kadharauliwa hapa wewe,au ndio weye uliyeruhusu huo wendawazimu?Ungeweza kutoa mawazo yako mazuri tu, bila kuzarau watu.
Kazi za Marehemu hizo....Mfugale na Pombe.....Hivi kuna faida gani kutumia bilioni 300 kujenga Ubungo flyover ili kuondoa foleni halafu tunakuja kuruhusu kituo cha daladala mdomoni kabisa mwa flyover ambapo gari ndio zinaingilia?
Kitendo cha daladala kuingia na kutoka kwenye kituo hiki inasababisha magari kushindwa kabisa kuflow kama inavyopaswa, maana mengine hushusha na kupakia katikati ya barabara kutokana na kukosa nafasi kituoni.
Hii inaleta foleni kali sana kuanzia external hasa siku zenye malori mengi, unakuta mbele kwenye flyover ni kweupe hadi Mwenge, ila kurudi nyuma hadi Mwananchi kuna foleni kali!
Huko Mirembe hakuna ulinzi wa kutosha?!
hii taarifa bila picha ni kama kuimba huku unatafuna karanga otherwise ww usiwe mkaz wa dar umesimuliwa tuuu.Hivi kuna faida gani kutumia bilioni 300 kujenga Ubungo flyover ili kuondoa foleni halafu tunakuja kuruhusu kituo cha daladala mdomoni kabisa mwa flyover ambapo gari ndio zinaingilia?
Kitendo cha daladala kuingia na kutoka kwenye kituo hiki inasababisha magari kushindwa kabisa kuflow kama inavyopaswa, maana mengine hushusha na kupakia katikati ya barabara kutokana na kukosa nafasi kituoni.
Hii inaleta foleni kali sana kuanzia external hasa siku zenye malori mengi, unakuta mbele kwenye flyover ni kweupe hadi Mwenge, ila kurudi nyuma hadi Mwananchi kuna foleni kali!
Huko Mirembe hakuna ulinzi wa kutosha?!
Hahahah, ni namna ya kuonyesha kurekereka tu, wala hatujamdharau 😂😂Nani kadharauliwa hapa wewe,au ndio weye uliyeruhusu huo wendawazimu?
Mtoa mada kasema umetoka milembe
Acha wenge!
Shida ya hii nchi mtu anafanya kazi akiwa ofisini hata barabara za huo mji hazijui,unakuta kituo cha daladala kwenye kona ya barabara au baada ya traffic lights....yani ni vurugu tupuHivi kuna faida gani kutumia bilioni 300 kujenga Ubungo flyover ili kuondoa foleni halafu tunakuja kuruhusu kituo cha daladala mdomoni kabisa mwa flyover ambapo gari ndio zinaingilia?
Kitendo cha daladala kuingia na kutoka kwenye kituo hiki inasababisha magari kushindwa kabisa kuflow kama inavyopaswa, maana mengine hushusha na kupakia katikati ya barabara kutokana na kukosa nafasi kituoni.
Hii inaleta foleni kali sana kuanzia external hasa siku zenye malori mengi, unakuta mbele kwenye flyover ni kweupe hadi Mwenge, ila kurudi nyuma hadi Mwananchi kuna foleni kali!
Huko Mirembe hakuna ulinzi wa kutosha?!
Ni shida.., hata kwenda kuona hali ikoje hakuna...Shida ya hii nchi mtu anafanya kazi akiwa ofisini hata barabara za huo mji hazijui,unakuta kituo cha daladala kwenye kona ya barabara au baada ya traffic lights....yani ni vurugu tupu
Nasikitika umechelewa kujua kuwa Watanzania / Waafrika wenye Akili Kubwa ni wa kuwatafuta sana kwa Tochi na hata ukiwapata utagundua kuwa hawatumiki, wanachukiwa na wanadharaulika na Wapuuzi wengi wenye Mamlaka katika Sekta zao za Kimaamuzi.Hivi kuna faida gani kutumia bilioni 300 kujenga Ubungo flyover ili kuondoa foleni halafu tunakuja kuruhusu kituo cha daladala mdomoni kabisa mwa flyover ambapo gari ndio zinaingilia?
Kitendo cha daladala kuingia na kutoka kwenye kituo hiki inasababisha magari kushindwa kabisa kuflow kama inavyopaswa, maana mengine hushusha na kupakia katikati ya barabara kutokana na kukosa nafasi kituoni.
Hii inaleta foleni kali sana kuanzia external hasa siku zenye malori mengi, unakuta mbele kwenye flyover ni kweupe hadi Mwenge, ila kurudi nyuma hadi Mwananchi kuna foleni kali!
Huko Mirembe hakuna ulinzi wa kutosha?!
Kituo kile ni muhimu sana na kina wanacnhi wengi wanakitegemea.
Kinachotakiwa kufanyika ni serikali kusogeza watu nyuma zaidi na kutanua kile kituo kuingia ndani na kuacha barabara ikiwa huru.
Hilo limefanyika pale Buguruni na kwa kiasi fulani kile kituo kipya kimepunguza foleni.
Lakini pia, sheria iwe kali kwa dalaladala zinazopaki nje ya kituo, iwekwe sheria na Alama ziwekwe vizuri zionekane.
Dalaladala itakayopark barabarani ipigwe faini kali ili akili ikae sawa.
Inatia hasira, kituo kiko wazi lakini dalaladala liko barabarani linazuia Gari nyingine na mita chache kutoka hapo yupo traffic police anatafuna Jojo.
Nenda pale external asubuhi utapandwa na hasira.
Ile njia ya gongolamboto ndio kabisa dalaladala wana haki miliki nayo.