Aliyeruhusu kituo cha daladala mdomoni mwa Ubungo flyover (riverside) alitoroka lini mirembe?

Nimecheka sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kituo kinakera sana kile, kina disrupt flow ya magari kwenye flyover, its ridiculous!
 
Hivi kuna faida gani kutumia bilioni 300 kujenga Ubungo flyover ili kuondoa foleni halafu tunakuja kuruhusu kituo cha daladala mdomoni kabisa mwa flyover ambapo gari ndio zinaingilia?

Kitendo cha daladala kuingia na kutoka kwenye kituo hiki inasababisha magari kushindwa kabisa kuflow kama inavyopaswa, maana mengine hushusha na kupakia katikati ya barabara kutokana na kukosa nafasi kituoni.

Hii inaleta foleni kali sana kuanzia external hasa siku zenye malori mengi, unakuta mbele kwenye flyover ni kweupe hadi Mwenge, ila kurudi nyuma hadi Mwananchi kuna foleni kali!

Huko Mirembe hakuna ulinzi wa kutosha?!
Hiko kituo kimeanza tangia Enzi za JPM hivyo lawama hizi ni za Marehemu.
 
Kile sio kituo cha kukusanyia abiria ni kituo cha kushusha abiria then safari inaendelea. Daladala pale haitakiwi kusimama zaidi ya dakika 3. Inatakiwa kushusha na kusepa haraka sana.

Ukikuta daladala imesimama na inapiga debe basi ni kosa kubwa wanafanya.
 
Tena wanapakia na kushusha katikati ya barabara, maana kituo kina daladala nyingi na ni kidogo!, kiondoke!
 
Tumia akili.

Riverside inalisha abiria wa Kibangu, Makoka, Kisukuru, majichumvi.

Ukiondoa kituo, abiria wakapandie wapi.
 
Hivi kuna faida gani kutumia bilioni 300 kujenga Ubungo flyover ili kuondoa foleni halafu tunakuja kuruhusu kituo cha daladala mdomoni kabisa mwa flyover ambapo gari ndio zinaingilia?

Kitendo cha daladala kuingia na kutoka kwenye kituo hiki inasababisha magari kushindwa kabisa kuflow kama inavyopaswa, maana mengine hushusha na kupakia katikati ya barabara kutokana na kukosa nafasi kituoni.

Hii inaleta foleni kali sana kuanzia external hasa siku zenye malori mengi, unakuta mbele kwenye flyover ni kweupe hadi Mwenge, ila kurudi nyuma hadi Mwananchi kuna foleni kali!

Huko Mirembe hakuna ulinzi wa kutosha?!
Inamaana mdhabuni hakua na akili ya kuwaza kama kutakua na shida sasa ndio ashakua kwa Mungu tupe mawazo tuyawasirishe
 
Wa kituo cha Ubungo Tanesco zamani, leo wanapandia wapi?
Wanateseka, wanalazimika kutembea umbali mrefu sana jua kali kukifata kituo cha Kimara Baruti. Wanachelewa vibaruani.

Wengine Baruti ni mbali mno, mpaka wavuke mto. Tegemeo lao ni Ubungo Riverside.
 
Kwahiyo hao wanaoteseka sio binadamu? Ila hawa wa River side ndio binadamu sivyo?
 
Back
Top Bottom