Aliyeruhusu kituo cha daladala mdomoni mwa Ubungo flyover (riverside) alitoroka lini mirembe?

Huko Mirembe hakuna ulinzi wa kutosha?!
Nimecheka sana🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Nimecheka sana🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Kituo kinakera sana kile, kina disrupt flow ya magari kwenye flyover, its ridiculous!
 
Hiko kituo kimeanza tangia Enzi za JPM hivyo lawama hizi ni za Marehemu.
 
Kile sio kituo cha kukusanyia abiria ni kituo cha kushusha abiria then safari inaendelea. Daladala pale haitakiwi kusimama zaidi ya dakika 3. Inatakiwa kushusha na kusepa haraka sana.

Ukikuta daladala imesimama na inapiga debe basi ni kosa kubwa wanafanya.
 
Tena wanapakia na kushusha katikati ya barabara, maana kituo kina daladala nyingi na ni kidogo!, kiondoke!
 
Tena wanapakia na kushusha katikati ya barabara, maana kituo kina daladala nyingi na ni kidogo!, kiondoke!
Tumia akili.

Riverside inalisha abiria wa Kibangu, Makoka, Kisukuru, majichumvi.

Ukiondoa kituo, abiria wakapandie wapi.
 
Inamaana mdhabuni hakua na akili ya kuwaza kama kutakua na shida sasa ndio ashakua kwa Mungu tupe mawazo tuyawasirishe
 
Wa kituo cha Ubungo Tanesco zamani, leo wanapandia wapi?
Wanateseka, wanalazimika kutembea umbali mrefu sana jua kali kukifata kituo cha Kimara Baruti. Wanachelewa vibaruani.

Wengine Baruti ni mbali mno, mpaka wavuke mto. Tegemeo lao ni Ubungo Riverside.
 
Wanateseka, wanalazimika kutembea umbali mrefu sana jua kali kukifata kituo cha Kimara Baruti. Wanachelewa vibaruani.

Wengine Baruti ni mbali mno, mpaka wavuke mto. Tegemeo lao ni Ubungo Riverside.
Kwahiyo hao wanaoteseka sio binadamu? Ila hawa wa River side ndio binadamu sivyo?
 
Vitu vingine mnatuchanganya sasa kimara kuna flyover πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…