MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,507
- 4,943
Nimeshangaa sana kuona Mamlaka zinazosimamia viwanja kuruhusu uwanja huu kutumika kwa michezo ya Ligi namba 6 kwa ubora barani Afrika. Baada ya kutazama mchezo wa Tabora utd inashangaza kuona uwanja huu ukitumika kwa michezo rasmi. Uwanja hiu ulifungiwa wiki kadhaa zilizopita, Swali la kujiuliza ina maana nini kikubwa kimefanyika ndani ya muda huu mfupi kuboresha kasoro zilizokuwepo? Ukitazama utaona hali imezidi kuwa mbaya, Pitch bado ni kama shamba la mpunga!
Mamlaka zinapaswa kujitafakari juu ya hili. Uwanja huu kutumika kwa Ligi kuu no dharau na kuhatarisha afya za wachezaji.
Mamlaka zinapaswa kujitafakari juu ya hili. Uwanja huu kutumika kwa Ligi kuu no dharau na kuhatarisha afya za wachezaji.