Aliyerusha bomu la petroli(molotov cocktail) Marekani ni jasusi wa Mossad, si mwarabu

Ukimtazama huyo jamaa aloshika chupa,unaona kuna mwarabu humo!?..
FBI wanasemaje? Colorado PD wanasemaje?
Maana hivyo ndio vyombo husika vya uchunguzi

America ina raia wengi mchanganyiko, black, white, brown and others
You just cant judge something based on looks kaka

Raia yoyote anaweza fanya lolote bila kujali asili yake
 
Huyo bwana kajitambuli kama Mohammed toka misri,aliingia usa 2023 na alipata vibali vya kazi chapu wakati wengine husotea, halafu mmisri awarushie bomu watu wanaopinga mauaji ya watoto Gaza!?
 
Naombeni mnifundishe jinsi ya kutengeneza hilo bomu
 
Angekuwa Mwarabu asingezunguka mara zote zile!!!

Wangeshampiga risasi wale Polisi walimjua ndio mana wakamwacha atambe kimaonyesho madhali wafanye project yao ya Propaganda watumie jina la muhamed!!!!!
 
Propaganda.
 
Endeleeni kubwabwaja ukishaliza Njoo kwenye mada tuendelee!!

View: https://www.youtube.com/shorts/vio53jUpJz0Angalia vijana wadogo wa kiyahudi wanavyowafukuza evangelical christians wa USA, na hapo USA ndio anawalisha, anawavisha na kuwapa kila aina ya misaada, sasa ukienda wewe mwana wa Yakobo mweusi sijui watakufanyaje...

Wat mnafukuzwa tokaa, hatuwatakiii, tokaaa hatuwatakii... inasikitisha sana..
 

Your browser is not able to display this video.

Ningekuwekea video ya wa Tanzania na wayahudi wanaoga kwenye Swiming pool moja na kwenye fukwe za bahari huko Tel Aviv hata hivyo nakuwekea hii tu ili Ujinga na Upumbavu wako ukutoke.

Hakuna ubaguzi huku watu wanasafiri pamoja,wanakaa pamoja,wana ohelem pamoja bila shida. Ukitaka ubaguzi nenda Old Jerusalem mitaa ya waarabu huko kila ucha fu utaukuta huko. Wayahudi hawana ubaguzi waarabu ndiyo wabaguzi kupindukia.

Wewe huwezi kuamini kwa sababu umemezeshwa ujinga na upumbavu.kuwa wayahudi wako hivyo unavyoambiwa. Kwa ambao tuko huku hayo hatuyaoni.

Kuna kitu manami Issa watu kuwa wayahudi wanawatemea mato wakristo na video hiyo mnaipigia chepuo sana. Huo ni uongo kosa hilo ukifanya kwa yeyote ni kifungo cha miaka 5 na faini ya million 5 mpaka 6.
 
Kuhusu ubaguzi huko sitaki kuaminishwa na wewe,nimeona magazeti ya kiyahudi yakitoa taarifa kwamba askari mkiristo aliyeuawa na hizbullah asizikwe(kaburi lisiwekwe msalaba) kwenye makaburi ya mashujaa,maana ni najisi,nimeona wayahudi wakitaka peleka muswada bungeni kupiga marufuku kuhubiri ukristu,nimeona wahubiri wa kikristu wakitemewa mate na kupigwa...ni wewe tu mpumbavu ndiye uliyeamua kujipendekeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…