Aliyerusha bomu la petroli(molotov cocktail) Marekani ni jasusi wa Mossad, si mwarabu

Acha ubishi usio na maana, hata huyo jamaa anayeooga hapo hivyo vitoto havijamstukia ni mkristo vimesikia tu anasema shalom, vikijua ni mkristo vitaanza mtemea mate..

Kama unabisha pita Jerusalem umebeba msalaba uone kama utatembea hatua 10 hujatemewa mate.. japo si wote watakaofanya hivyo lakini wapo wabaguzi wa kiyahudi watakutemea mate... acha ujinga...


View: https://www.youtube.com/shorts/2UpBjx3nupc
 
Echolima1 njoo uone hapa askari wa Israel anamwambia mchungaji ambae ni mtalii kutoka ujermani ya kwamba afunike kwanza msalaba aliouvaa kama rozari ama mkufu na kisha ndio aendelee na utalii...

View: https://www.youtube.com/shorts/YYTv45XRWJA
Tunapowaambia uwe unasikia, huyo ni state police anafanya hivyo...

Punguza kujipendekeza kwa myahudi anakuona kama nyani..
 
Wataumia, waislam washapitia hayo tisini mwishoni mpaka elfu mbili mwanzoni,sasa hivi wametulia
hakuna Islam na ukristo kwenye issue ya utekaji na mauaji yanayoendelea, acha uchawa na udini maana hiyo combination itakulipukia mwenyewe kama hilo bomu la Molotov
 
Hakuna anayekulazimisha uamini ninavyokuambia. Huko nyumbani hata mimi niliona Padri akimwagiwa tindikali na Makanisa kuchomwa moto.

Ninachokipinga mimi ni upotoshaji mnaoufanya na kulazimisha kwa nguvu kubwa cha ajabu huku sasa waafrika ndiyo wanazidi kuwa wengi tu na Jumamosi tunaenda kwenye Arusi ya Mtanzania mweusi na Muyahudi hapo sasa najua mtajinyonga kabisa maana hamtaki kusikia hivyo!!
 
Hawa Israel ndio wanao andika fake hadithi za kujidai kina Bukhari au Sahihi Muslim hao sio ajabu kufanya hayo

Unaweza kumkuta mpaa kahifadhi Qur'an ili ajidai Muislam afu utasikia anafanya vituko vya ajabu ajabu. Haviendani na maadili ya kislam.
 
Siyo tu kupita sisi tulifika mpaka kwenye Msikiti wa Alaqsa lililo Hekalu!! hatujaona UHARO mnaozusha wa ubaguzi!! Kila mtu anaruhusiwa ku Practice Imani yake,tunakula nao bila shida mazuzu endeleeni tu kudanganya watu angalia video hiyo hapo chini ni sherehe ya kikristo lakini tuna wayahudi wengi tu walijumuika nasi mitaa ya Jerusalem!!!
 

Attachments

  • v09044g40000cvtuai7og65k4t1inqr0.mp4
    25.7 MB
Hapo nilichoona ni wananchi wa kikristo wa Israel na wengine kutoka nchi mbali mbali wakisheherekea...
Wayahudi wangekuwepo hapo mngeanza kutemewa mate...
Myahudi hawezi kuja kusheherekea siku kuu ya matawi...
 
Hapo nilichoona ni wananchi wa kikristo wa Israel na wengine kuoka nchi mbali mbali wakisheherekea...
Wayahudi wangekuwepo hapo mngeanza kutemewa mate...
Myahudi hawezi kuja kusheherekea siku kuu ya matawi...
Kwa sababu umemezeshwa ujinga endelea na ujinga huo mkristo gani anavaa Kippah( Skull cap)? Hapo ilikuwa mitaani siyo kanisani unaowaona hapo ni Watanzania Tukiwaambia na wenyeji wetu wananzengo wa Jerusalem!! Wewe endelea kushupaza fuvu lako tu!!
 
Myahudi anawezaje sheherekea matawi?
Kwa ujinga wako unaelewa Wayahudi wote ni Judaism kuna wengine RC,Pentecost, Othodox wengine hawana dini kabisa na ni majirani zetu tulipoanza kuselebuka walituunga mkono na hiyo ni kawaida kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…