Bora uishie hapa maana wewe unajua mtu akisema Wayahudi wewe unajua ni Dini Pole sana!!Naomba mjadala uishie hapa, sasa nimeelewa huna unachokifahamu na ni mweupe sana...
Sasa hapo ndio umeandka ujinga gani, kwamba kuna wayahudi wengine ni RC , π π π
Yaani husikii hata mazungumzo yao, huyo dada humsikii kabisa anachosema kwamba huyo mzee inabidi aheshimu uhuru wa kuabudu wa wayahudi, sheria na taratibu zao hivyo hapaswi kuingia hapo na msalaba, au kiingereza chenga?Umejuaje huyo ni Polisi? Wengi wa Polisi au Jeshi huko hawajui Kiingereza maana lugha ya Taifa ni Hebrew!! Hizo video Fupi fupi ambazo hujui zinaanzia wapi na zinaishia wapi ni Propaganda tu. Bora tungeona mwishoni anavyokamatwa lakini hawawezi kuonyesha maana ni Propaganda,
Kwa kuwa wewe unaziamini tuonyeshe alipokamatwa kwa sababu ya msalaba!! Naamini huwezi kuwa nazo kwa sababu ni uongo wa kutengeneza/kupotosha.
Umejuaje huyo ni Polisi? Video hiyo ilianzaje na ikamalizika vipi? Acha propaganda!!!Yaani husikii hata mazungumzo yao, huyo dada humsikii kabisa anachosema kwamba huyo mzee inabidi aheshimu uhuru wa kuabudu wa wayahudi, sheria na taratibu zao hivyo hapaswi kuingia hapo na msalaba, au kiingereza chenga?
Zungu hilo!Ukimtazama huyo jamaa aloshika chupa,unaona kuna mwarabu humo!?..
Wayahudi ni dini?Huwezi kuwa myahudi halafu ukawa mkiristo,hiyo ni sawa uwe muislam na mkristo kwa wakati mmoja
Mimi ni Mmatumbi wa Kilwa kiingereza na mimi ni wapi na wapi!!!!!Yaani husikii hata mazungumzo yao, huyo dada humsikii kabisa anachosema kwamba huyo mzee inabidi aheshimu uhuru wa kuabudu wa wayahudi, sheria na taratibu zao hivyo hapaswi kuingia hapo na msalaba, au kiingereza chenga?
Sasa nani ambae ana mamlaka ya kumzuia huyo mtalii asiingie hayo maeneo?Umejuaje huyo ni Polisi? Video hiyo ilianzaje na ikamalizika vipi? Acha propaganda!!!
Unalazimisha wee lakini ukweli huwezi kuubadirisha endelea kuamini hivyo. Sisi tupo tu hakuna shida!!Sasa nani ambae ana mamlaka ya kumzuia huyo mtalii asiingie hayo maeneo?
Hayo maeneo ni Israel , mambo mengine utajifanya kuruka ruka lakini habari ndio hio... na viswali uchwara visivyo na mbele wala nyuma lakini nyie mnabaguliwa kama Palestinians tu
Wayahudi hawawataki, msijipendekeze..
Kama wanawabagua hadi raia wa ujerumani kisa udini na hao watu wa EU ndio wanawapa misaada itakuwa wewe?
Usishangae nchi za EU hivi sasa kutokubali matendo ya Israel na kuwatetea Palestinians, wazungu wanawajua vyema hao watu walivyo, nimekuonyesha videos baadhi upate uelewa...
Ndio maana unasikia UK wanazozana na hao watu shukurani hawana...
Kutwa kufungua nyuzi za wayahudi halafu mkienda huko mnatemewa mate na kubaguliwa..Unalazimisha wee lakini ukweli huwezi kuubadirisha endelea kuamini hivyo. Sisi tupo tu hakuna shida!!
Pole sana najua sana huwa unaumia sana na ndiyo maana Mimi kila siku lazima nifungue nyuzi hizo ili uendelee kuumia sana!!! Na Safari hii mpaka Unye!!!!!Kutwa kufungua nyuzi za wayahudi halafu mkienda huko mnatemewa mate na kubaguliwa..
Hio ya mwisho, hili tukio lilikuwa maarufu sana, baada ya Police wa Israel kumpiga huyo dogo ambae ni IDF , kisa tu ni myahudi mweusi...Pole sana najua sana huwa unaumia sana na ndiyo maana Mimi kila siku lazima nifungue nyuzi hizo ili uendelee kuumia sana!!! Na Safari hii mpaka Unye!!!!!
Ndiyo,ni diniWayahudi ni dini?
Umemsikiliza Netanyahu anachosema hapo? anasema ubaguzi hauna nafasi Israel na huyo dogo anasema inabidi jamii ya wayahudi wa Israel waanze kuwatambua wao kama Ethiopian jews..Nimeangalia video hiyo wala hakuna uhalisia angalia hapo nimezungushia hiyo video Ina miaka mingapi? Haionyeshi ilikuwa vipi na ilimalizika vipi.
Nimekuambia video kama hizo ni Propaganda tu video ya dakika moja utaelewa nini? Kwa sababu ulishachagua kutumika wewe tumika tu na mimi nitakuwa kila siku naleta nyuzi za Israel mpaka unye!!!
Miaka 10 nyuma!!!! safari hii mpaka Unye Mavi nyuzi zitaendelea kushuka mpaka nirudi nyumbani utakuwa umekoma ubishi!!!!Umemsikiliza Netanyahu anachosema hapo? anasema ubaguzi hauna nafasi Israel na huyo dogo anasema inabidi jamii ya wayahudi wa Israel waanze kuwatambua wao kama Ethiopian jews..
Acha ubishi na ukubali kujifunza...
Miaka 10 nyuma si kitu, watu kama ni wabaguzi ni wabaguzi tu... sasa miaka 10 nyuma si 2015 hapo juzi?
Hiki ndio chanzo chako!!!?Juzi huko marekanililitokea tukio la mtu kuwarushia bomu la petroli waandamanaji waliopinga vita Gaza na kutaka vita vikome
Mwanaume mmoja aliyetajwa kwa jina la Mohammed alitajwa kama muhusika
Lakini duru zinaarifu kwamba bwana huyo si mwarabu wa misri bali jasusi wa israel
Hata kule libya,alikamatwa bwana efrain Benjamin akiwa kama mkuu wa isis,lakini Benjamin alikua jasusi wa mossad aliyepandikizwa muda mrefu kiasi cha kuwa imam misikitu mbalimali
Pamekua na hofu israel ya kupoteza uungwaji mkono duniani kupitia karata ya 'anti semitic',hivyo kuanzisha kampeni ya kutafuta huruma.Hata tukio la kupigwa risasi wafanyakazi wawili wa ubalozi huko marekani inatajwa kuwa ni kazi ya ndani.
View attachment 3354595
View attachment 3354596
Kwanza utakuta upo hapo Igunga unatudanganya humu unaishi Israel, Tel Aviv..Miaka 10 nyuma!!!! safari hii mpaka Unye Mavi nyuzi zitaendelea kushuka mpaka nirudi nyumbani utakuwa umekoma ubishi!!!!
Kuna shida gani nikiwa Igunga? Kwetu Mimi ni Kilwa-Kivinje Mmatumbi mimi!!! Endelea tu kuumia na safari hii mpaka Unye mavi nyuzi zitakuwa nyingi sana mpaka uumie tu!!!Kwanza utakuta upo hapo Igunga unatudanganya humu unaishi Israel, Tel Aviv..
Wewe utakua unapewa tu story Israel kulivyo unakuja hapa unajikuta myahudi, pumbaf...
Kama wewe unavyokula nguruwe!!Hawa Israel ndio wanao andika fake hadithi za kujidai kina Bukhari au Sahihi Muslim hao sio ajabu kufanya hayo
Unaweza kumkuta mpaa kahifadhi Qur'an ili ajidai Muislam afu utasikia anafanya vituko vya ajabu ajabu. Haviendani na maadili ya kislam.