Huyo si Polisi hawa ndiyo Polisi huyo ambaye anajificha na kuogopa kamera huyo ni Mpiga Propaganda tu!!Echolima1 njoo uone hapa askari wa Israel anamwambia mchungaji ambae ni mtalii kutoka ujermani ya kwamba afunike kwanza msalaba aliouvaa kama rozari ama mkufu na kisha ndio aendelee na utalii...
View: https://www.youtube.com/shorts/YYTv45XRWJA
Tunapowaambia uwe unasikia, huyo ni state police anafanya hivyo...
Punguza kujipendekeza kwa myahudi anakuona kama nyani..
Kweli kabisa!Wataumia, waislam washapitia hayo tisini mwishoni mpaka elfu mbili mwanzoni,sasa hivi wametulia
Juzi huko marekanililitokea tukio la mtu kuwarushia bomu la petroli waandamanaji waliopinga vita Gaza na kutaka vita vikome
Mwanaume mmoja aliyetajwa kwa jina la Mohammed alitajwa kama muhusika
Lakini duru zinaarifu kwamba bwana huyo si mwarabu wa misri bali jasusi wa israel
Hata kule libya,alikamatwa bwana efrain Benjamin akiwa kama mkuu wa isis,lakini Benjamin alikua jasusi wa mossad aliyepandikizwa muda mrefu kiasi cha kuwa imam misikitu mbalimali
Pamekua na hofu israel ya kupoteza uungwaji mkono duniani kupitia karata ya 'anti semitic',hivyo kuanzisha kampeni ya kutafuta huruma.Hata tukio la kupigwa risasi wafanyakazi wawili wa ubalozi huko marekani inatajwa kuwa ni kazi ya ndani.
View attachment 3354595
View attachment 3354596
Siku hizi waislamu wanajielewa!Eeh,na polisi wanakiri maandamano ya waislam ndiyo nuksi
Huyo jamaa ni mpumbavu yeye anaamini wale waisrael wa kwenye biblia ndo hawa hana akili yuleJamaa analaani sana kuwa mnyakyusa,anatamani angekua muisrael
Wewe wasema huna akili kabisa!!!Huyo jamaa ni mpumbavu yeye anaamini wale waisrael wa kwenye biblia ndo hawa hana akili yule
Tena wale wa Njombe wamekunenepesha sana ndio sababu Wayahudi wanakualika sana.Kama wewe unavyokula nguruwe!!
Mara nyingi sana huwa najiuliza hivi mnapata wapi ujasiri wa kusema uongo huku mnajua kabisa kuwa mnadanganya?Juzi huko marekanililitokea tukio la mtu kuwarushia bomu la petroli waandamanaji waliopinga vita Gaza na kutaka vita vikome
Mwanaume mmoja aliyetajwa kwa jina la Mohammed alitajwa kama muhusika
Lakini duru zinaarifu kwamba bwana huyo si mwarabu wa misri bali jasusi wa israel
Hata kule libya,alikamatwa bwana efrain Benjamin akiwa kama mkuu wa isis,lakini Benjamin alikua jasusi wa mossad aliyepandikizwa muda mrefu kiasi cha kuwa imam misikitu mbalimali
Pamekua na hofu israel ya kupoteza uungwaji mkono duniani kupitia karata ya 'anti semitic',hivyo kuanzisha kampeni ya kutafuta huruma.Hata tukio la kupigwa risasi wafanyakazi wawili wa ubalozi huko marekani inatajwa kuwa ni kazi ya ndani.
View attachment 3354595
View attachment 3354596
Hata netanyahu anajua kiarabu, Hamas wanajua kiebrania,na eli Cohen alihesabika mwarabu na waarabuMara nyingi sana huwa najiuliza hivi mnapata wapi ujasiri wa kusema uongo huku mnajua kabisa kuwa mnadanganya?
Nawashangaa sana mna jitahidi sana kuwasafisha magaidi ya kiarabu kwa kutunga uongo wa mchana kweupe kuwa alikuwa ajent wakati ni ugaidi wake mwenyewe. Pamoja na kwamba mna jitahidi kuwasafisha magaidi wa kiarabu magaidi hao hawasafishiki walishajichafua kwa Matondo yao mabovu.
Nawashangaa wengine wasema eti huyo siyo mwarabu amebandikwa tu jina na wazungu ili aharibu sifa nzuri za waarabu!!!! Huo ni ujinga wa kiwango cha lami hebu lisikilize Gaidi hilo likijieleza kabla ya kufanya ugaidi huko Coronado,Marekani
Mnaliharibu Jukwaa hili kwa habari zenu za uongo na Upotoshaji!!!Hata netanyahu anajua kiarabu, Hamas wanajua kiebrania,na eli Cohen alihesabika mwarabu na waarabu
Huwa mnajifunzia wapi?😎Rahisi sana hilo,ila ukiwa bwege utawaka mwenyewe
Tuwekee hapa clip Netanyahu akiongea lugha ya Magaidi!!!Hata netanyahu anajua kiarabu, Hamas wanajua kiebrania,na eli Cohen alihesabika mwarabu na waarabu