Aliyesababisha Tido Mhando aondolewe TBC akamatwe na kuhojiwa

Kamanda, hivi chama chetu kina mpango kweli wa kuanzisha angalau karedio ili iwe rahisi kuwasiliana na wananchi ambao ndo wapiga kura? Nauliza swali tu!
Serekali ya CCM,hasa ya sasa haiwezi kuwapa nafasi ya kutekeleza hilo.
 
Aibu kubwa kwa Ayoub Rioba
 
Yusuph Makamba and some CCM members,walifanya fitina sana kwa huyu mzee hadi kufutwa kazi TBC,pia walimpa kesi ya matumizi mabaya ya ofisi,sijui kesi hii iliisha vipi!
Alishinda Wenye Fitina waliaibika
 
Nakumbuka Mchakato majimboni 2010
Leo Azam bila elf 20 huoni soka na bado wananchi wanalipa , TBC bure kabisa lakini wananchi hawataki kuitazama ! Azam inaheshimika na ina network dunia nzima , inaweza kufanya kazi na shirika lolote duniani , lakini hakuna anayeijua TBC hata hapo Zanzibar tu !
 
Niliona jana wakati wa kusaini mkataba huko chato mdada yuko anatafuna bbg sijui hata nini kilinituma kuangalia hii tv
 
Kwa TBC mi napenda TBC FM kipindi Cha PAPASO,. chini ya Dijalo Arungu, dj Manywele na Ndalu Moko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…