Kupiga blablaa kwenye midahalo au kuandika makala za kufikirika na kuendesha kituo cha habari on the ground ni sawa na mbingu na ardhi... RIP Ruge na Reginald Mengi, hawa ndiyo walikuwa magwiji wa kuendesha Media hapa bongo!! Mzee wa watu Tido wakamchomoa toka BBC ili aje kuisuka TBC (JK aliwashawishi wazawa wengi tuu warudi home ili taaluma zao zisaidie kujenga home), akaanza vizuri sana mpaka TBC ikaanza kurudi kwenye mstari, lahaulaa kale kazee kasambaa kakaanza kumsagia kunguni homeboy wake mpaka akanuka... But as they say, Malipo ni hapa hapa duniani, naye akaponea chupuchupu kutimuliwa kama yule jasusi....