Aliyesababisha Tido Mhando aondolewe TBC akamatwe na kuhojiwa

Aliyesababisha Tido Mhando aondolewe TBC akamatwe na kuhojiwa

Na muda mrefu sana siangaliagi hii chanel.
Tido ndio aliiwezea, Mshana na huyu wa sasa hakuna kitu.
Mkurugenzi mwenyewe Ryoba yuko Kama kuku wa kienjeji, na vipindi vinakuwa na sura Yake.
 
Labda wewe tu ndio huiangalii tbc. Halafu tido mhando aliondolewa tbc kwa shutuma za ufisadi kwa kuingiza tbc mkataba na startimes usiyokua na maslahi yoyote kwa tbc.
Alifungwa miaka mingapi ?
 
akiwa katibu mkuu wa chama.
Chama kina nguvu kubwa. Kinauwezo wa kuchukua eneo la uchaguzi bila kufanya kampeni ya majukwaani bali kampeni ya kisayansi ya kimya kimya! Ushahidi, upo.
 
Kuna sigment inaitwa Bongo kama Ulaya kwenye Aridhio.....hovyo kabisa
Nikikosa bundle naangalia dish chanel 100
 
Hili ni jambo la muhimu sana kufanyika kwa sasa hasa baada ya TBC kupoteza mvuto kwa wananchi kwa kiwango cha kutisha mno.

Bila shaka aliyefanya jambo lile alilipwa ili kuhujumu TV ya Taifa, si bure ! TBC leo imekuwa ya kuangaliwa na walioishiwa bando kweli ? tena kipindi cha Mama Ndege ! Hii ni aibu sana !
Deep state,haikumtaka Tido,Tido si mwanasiasa,ni mwanataaluma,sio Kama huyu ceo wa TBC wa sasa hv,huyu ni yesman,hana jipya,
 
Deep state,haikumtaka Tido,Tido si mwanasiasa,ni mwanataaluma,sio Kama huyu ceo wa TBC wa sasa hv,huyu ni yesman,hana jipya,
CEO wa sasa ni Daktari ktk fani ya mambo hayo ya utangazaji nk.Ukiangalia station zoote za tv za serikali hazina tofauti na hii ya kwetu..KBC...UBC..NTV..nk..nk..
 
CEO wa sasa ni Daktari ktk fani ya mambo hayo ya utangazaji nk.Ukiangalia station zoote za tv za serikali hazina tofauti na hii ya kwetu..KBC...UBC..NTV..nk..nk..
Sasa huyu mwenye PHD,ameishindwa kuifanya TBC kuwa bora,Kama vituo vya wenzetu,linganisha hii TBC na kituo Cha south Africa,SABC,hii ya kwetu hakuna chochote kinachoongelewa,imekuwa Kama kituo Cha propaganda Cha ccm,imekuwa Kama Russia today,ya urusi,
 
Ayubu rioba ndio kaiua kabisa tbc Raisi wetu anafikiri PhD ndio utendaji hasa PhD za kudesea na ku cremisha huku contribution kiutendaji zero, rioba alifikiri kuongea Sana kiuhanaharakati ndio utendaji, kwanini tbc wasitafte mkurugenzi mwenye international exposure, maana tv ni hovyo kweli ki content na kila kitu. Bora hata Salim kikeke angeweza kubadilisha Mambo baada ya kupata exposure ya bbc na sio dr aliye cremisha madesa with zero inputs kwenye utendaji
 
Kuna li-kipindi linaitwa "Mama ndege" huko?? Hahaaa!
Hii channel sitaki hata kuiona kwenye list pindi nikishika remote.
[emoji23][emoji23][emoji23]eti mama ndege kinahusu nini maana Mimi sihangalii upumbavu wa local Chanel, maana ni kujijaza ujinga tu
 
Baba yake Februari ndiye aliyekuwa nyota wa hiyo filamu, hasa baada ya Tido kugomea kusitishwa kwa kile kipindi midahalo majimboni na wagombea urais kwenye ule uchaguzi, akiwa katibu mkuu wa chama.
TBC enzi za tindo ilikuwa Moto wa kuotea mbali Kama bbc, au CNN kabisa
 
Hili ni jambo la muhimu sana kufanyika kwa sasa hasa baada ya TBC kupoteza mvuto kwa wananchi kwa kiwango cha kutisha mno.

Bila shaka aliyefanya jambo lile alilipwa ili kuhujumu TV ya Taifa, si bure ! TBC leo imekuwa ya kuangaliwa na walioishiwa bando kweli ? tena kipindi cha Mama Ndege ! Hii ni aibu sana !
TBC imebaki na MS ELIZABETH MRAMBA wa RIDHIO , na wanao mwangalia ni wanaume
 
CEO wa sasa ni Daktari ktk fani ya mambo hayo ya utangazaji nk.Ukiangalia station zoote za tv za serikali hazina tofauti na hii ya kwetu..KBC...UBC..NTV..nk..nk..
Television za Kenya ziko vzuri kuliko tbc yetu aisee, huku tbc habari ni mikutano tu ya viongozi hawaingii deep, tofauti na Kenyan TV's
 
Back
Top Bottom