Volodimiri Zelensiki
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 1,154
- 3,417
Nani atawapa kibali? Gazeti letu tu limefungiwa itakuwa redio?Kamanda, hivi chama chetu kina mpango kweli wa kuanzisha angalau karedio ili iwe rahisi kuwasiliana na wananchi ambao ndo wapiga kura? Nauliza swali tu!
Acha kujenelalizi wengi bado tunavutiwa na kuipenda TBCHili ni jambo la muhimu sana kufanyika kwa sasa hasa baada ya TBC kupoteza mvuto kwa wananchi kwa kiwango cha kutisha mno.
Bila shaka aliyefanya jambo lile alilipwa ili kuhujumu TV ya Taifa, si bure ! TBC leo imekuwa ya kuangaliwa na walioishiwa bando kweli ? tena kipindi cha Mama Ndege ! Hii ni aibu sana !
una umri gani ?Tunajua mleta mada una hasira zako dhidi ya TBC ila ukweli unabaki kwamba tbc ndio tv station ya kitaifa.
Kipi ambacho Tido mhando alikiacha kama legacy yake pale.
Kupoteza mvuto imejitakia yenyewe,ila huyo alionawasingewezana akaamua kusepa,hapo hakuna hata mchawi,ingekuwa hivyo huyo msababishi angekuwa na shitaka la uhujumu uchumi.Hili ni jambo la muhimu sana kufanyika kwa sasa hasa baada ya TBC kupoteza mvuto kwa wananchi kwa kiwango cha kutisha mno.
Bila shaka aliyefanya jambo lile alilipwa ili kuhujumu TV ya Taifa, si bure ! TBC leo imekuwa ya kuangaliwa na walioishiwa bando kweli ? tena kipindi cha Mama Ndege ! Hii ni aibu sana !
Kupiga blablaa kwenye midahalo au kuandika makala za kufikirika na kuendesha kituo cha habari on the ground ni sawa na mbingu na ardhi... RIP Ruge na Reginald Mengi, hawa ndiyo walikuwa magwiji wa kuendesha Media hapa bongo!! Mzee wa watu Tido wakamchomoa toka BBC ili aje kuisuka TBC (JK aliwashawishi wazawa wengi tuu warudi home ili taaluma zao zisaidie kujenga home), akaanza vizuri sana mpaka TBC ikaanza kurudi kwenye mstari, lahaulaa kale kazee kasambaa kakaanza kumsagia kunguni homeboy wake mpaka akanuka... But as they say, Malipo ni hapa hapa duniani, naye akaponea chupuchupu kutimuliwa kama yule jasusi....Huyu kafeli kabisa,angejitathmini aone kinachopaswa kufanyika.
Hata wao wenyewe wanafahamu tatizo ila hawausemi ukweli.Hahahaha dish 100 aisee kweli umeichoka TBC yetu pendwa..embu sema tatizo nini?
Mungu huwanyoosha waovu hapa hapa duniani.Kupiga blablaa kwenye midahalo au kuandika makala za kufikirika na kuendesha kituo cha habari on the ground ni sawa na mbingu na ardhi... RIP Ruge na Reginald Mengi, hawa ndiyo walikuwa magwiji wa kuendesha Media hapa bongo!! Mzee wa watu Tido wakamchomoa toka BBC ili aje kuisuka TBC (JK aliwashawishi wazawa wengi tuu warudi home ili taaluma zao zisaidie kujenga home), akaanza vizuri sana mpaka TBC ikaanza kurudi kwenye mstari, lahaulaa kale kazee kasambaa kakaanza kumsagia kunguni homeboy wake mpaka akanuka... But as they say, Malipo ni hapa hapa duniani, naye akaponea chupuchupu kutimuliwa kama yule jasusi....
Kesi ilifutwa mahakamaniYusuph Makamba and some CCM members,walifanya fitina sana kwa huyu mzee hadi kufutwa kazi TBC,pia walimpa kesi ya matumizi mabaya ya ofisi,sijui kesi hii iliisha vipi!
Porn hubMimi Bora ninunue kifurush Cha simu niangalie ma x videos huko walau punyeto inanipa raha kuliko nicheck tbc
Labda wewe tu ndio huiangalii tbc. Halafu tido mhando aliondolewa tbc kwa shutuma za ufisadi kwa kuingiza tbc mkataba na startimes usiyokua na maslahi yoyote kwa tbc.Hili ni jambo la muhimu sana kufanyika kwa sasa hasa baada ya TBC kupoteza mvuto kwa wananchi kwa kiwango cha kutisha mno.
Bila shaka aliyefanya jambo lile alilipwa ili kuhujumu TV ya Taifa, si bure ! TBC leo imekuwa ya kuangaliwa na walioishiwa bando kweli ? tena kipindi cha Mama Ndege ! Hii ni aibu sana !
Wengine hata hamwatakii mema ila mnajionyesha mko pamoja nawao.Hakuna wa kufukuza hapo!
Nani kakwambia TBC haina mvuto ?Sisi kama SISI tuneridhika sana na utendaji wao wa kazi na tuweza kusema kwa uhakika kazi yao ni nzuri sana.
TBCCCM mda mwingi ni kuisifu CCM tu ndiyo maa watanzania hawapendiHili ni jambo la muhimu sana kufanyika kwa sasa hasa baada ya TBC kupoteza mvuto kwa wananchi kwa kiwango cha kutisha mno.
Bila shaka aliyefanya jambo lile alilipwa ili kuhujumu TV ya Taifa, si bure ! TBC leo imekuwa ya kuangaliwa na walioishiwa bando kweli ? tena kipindi cha Mama Ndege ! Hii ni aibu sana !
Umelipia kifurushi ?Hakuna wa kufukuza hapo!
Nani kakwambia TBC haina mvuto ?Sisi kama SISI tuneridhika sana na utendaji wao wa kazi na tuweza kusema kwa uhakika kazi yao ni nzuri sana.
Wasaidie kutambua wanapokosea ili wajirekebishe kama kweli unawapenda na ni mzalendoHongera Sana kwa kufuatilia TBC .
Ile kesi aliachiwa huru. Na mahakama. Hakukutwa na hatia yalikuwa majungu tuu.Yusuph Makamba and some CCM members,walifanya fitina sana kwa huyu mzee hadi kufutwa kazi TBC,pia walimpa kesi ya matumizi mabaya ya ofisi,sijui kesi hii iliisha vipi!
Ok mtu kama wewe wala tbc haina haja nae.Mimi Bora ninunue kifurush Cha simu niangalie ma x videos huko walau punyeto inanipa raha kuliko nicheck tbc
Hivyo ni kusema imeridhika na hali yake au.Ok mtu kama wewe wala tbc haina haja nae.