Aliyesema siasa zinahitaji vyeti nani?

Aliyesema siasa zinahitaji vyeti nani?

Wimbo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2012
Posts
866
Reaction score
625
Bado naona watu wanapambana humu kuhusiana na shule ya Makonda, ni wangapi wana makaratasi kibao vyeti vya vyuo wameshindwa kujimanage siasa ni karama ni uwezo binafsi wa kujaaliwa na Mwenyezi Mungu usiohitaji masters au PHD zikiwepo ni added advatage.

Ukitaka kajipime na Kishimba au msukuma anayetawala uchumi wa Geita uwambie hawana shule. CCM ina macho haimteui mtu hovyohovyo, imemchekecha na ikaona barabara huyu ndiye anatufaa ktk kutuvusha na wimbi la bahari.

Kama ambavyo CCM haikuwa inamtaka sana JPM ili chama kivuke 2015. Angekuwa mwingine kwa wimbi la Lowassa CCM ingekuwa chali, hali kadhalika kipindI cha uchaguzi Binti yangu Mjema lazima angepwaya.

Siasa zinahitaji aina fulani ya sayansi ya siasa zenye figisu, tunasahau jinsi ambavyo Dr. Salim alifanyiwa figisu ndiye aliyefaa kuwa Rais wa NNE lakini zikapigwa figisu kwamba si raia, kweli!! Salim asiwe Raia?
 
Ni takwa la wakati na kimaadili, ni lazima kiongozi awe anamiliki vyeti halali vyenye kuwakilisha uhalisia wa maisha yake.
 
Kwa sisi watu weusi/ waafrika ni sawa lakini kwa jamii ya watu walio komaa akili hapana
 
Back
Top Bottom