Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,480
- 7,443
Yusuphu Makamba aliwahi kusema kuwa wazuri huwa hawafi
Leo hii ana nini cha kuwaambia Watanzania?
Leo hii ana nini cha kuwaambia Watanzania?
Kafa??Yusuphu Makamba aliwahi kusema kuwa wazuri huwa hawafi
Leo hii ana nini cha kuwaambia Watanzania?
Hawezi kufa na hatakufaKafa??
Au yeye mzuri hawezi kufa??
Unahisi hauna uhakikaNahisi Kikwete anamuandaa Ridhiwani kwenye uRais 2030, ndomana yuko front kwenye mambo mengi ya Maza.
Na January kafyekwa kimkakati ili kumfifisha kwenye mbio za uRais 2030.
Ndio, ni hisia tu ambazo zawezakutokea kama ilivyotokea Zanzibar bana na Mwana kuwa maRais wa Nchi mara mbiliUnahisi hauna uhakika