Aliyesema wazuri huwa hawafi amekiona cha mtemakuni yeye na familia yake

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,480
Reaction score
7,443
Yusuphu Makamba aliwahi kusema kuwa wazuri huwa hawafi

Leo hii ana nini cha kuwaambia Watanzania?
 
Nahisi Kikwete anamuandaa Ridhiwani kwenye uRais 2030, ndomana yuko front kwenye mambo mengi ya Maza.
Na January kafyekwa kimkakati ili kumfifisha kwenye mbio za uRais 2030.
 
Nahisi Kikwete anamuandaa Ridhiwani kwenye uRais 2030, ndomana yuko front kwenye mambo mengi ya Maza.
Na January kafyekwa kimkakati ili kumfifisha kwenye mbio za uRais 2030.
Unahisi hauna uhakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…