Aliyesemwa kuwa amechanganyikiwa ni Mgombea wa CCM si Rais, Polisi acheni kutumika kisiasa

Abraham Lincolnn

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2018
Posts
3,189
Reaction score
6,140
Kama mgombea ameamua kugombea lazima awe tayari kukumbana na kila aina ya upinzani, Kujivua na kujivika kofia ya mgombea urais na hapo hapo Rais wa nchi, kisha unajivua na kujivika uamiri jeshi mkuu, Sidhani kama ni ushindani wenye usawa.

Hii ni dalili ya uoga na hofu, kutumia nguvu kubwa dhidi ya upinzani. Kutumia kofia tatu kwa wakati mmoja na kuwapangia wengine namna ya kuendesha kampeni.

#NO REFORMS, NO ELECTION
 
Huyu alianza kugombana na baba Abdull hivi kweli atawaacha wapinzani au hukumbuki ile rusharoho na rais wa Burundi 🤣
 
Polisi akili ndogo wanashindwa kupambanua mambo
 
Kama mgombea ameamua kugombea lazima awe tayari kukumbana na kila aina ya upinzani, Kujivua na kujivika kofia ya mgombea urais na hapo hapo Rais wa nchi, kisha unajivua na kujivika uamiri jeshi mkuu, Sidhani kama ni ushindani wenye usawa.

Hii ni dalili ya uoga na hofu, kutumia nguvu kubwa dhidi ya upinzani. Kutumia kofia tatu kwa wakati mmoja na kuwapangia wengine namna ya kuendesha kampeni.

#NO REFORMS, NO ELECTION
Kwani kampeni zimeamza wewe mropokaji? Huwezi ukasema hayo maneno halafu ubaki mtaani hapo hatatakuwa na nchi tena. Polisi fanyeni kazi yenu ya kikatiba.
 
Ndio maana tumesema NRNE kwa sababu ya mambo kama hayo
 
Na
Kama mgombea ameamua kugombea lazima awe tayari kukumbana na kila aina ya upinzani, Kujivua na kujivika kofia ya mgombea urais na hapo hapo Rais wa nchi, kisha unajivua na kujivika uamiri jeshi mkuu, Sidhani kama ni ushindani wenye usawa.

Hii ni dalili ya uoga na hofu, kutumia nguvu kubwa dhidi ya upinzani. Kutumia kofia tatu kwa wakati mmoja na kuwapangia wengine namna ya kuendesha kampeni.

#NO REFORMS, NO ELECTION
Amechanganyikiwa kweli huyu. Ulaya na Marekani hawafanyi vizuri kiuchumi kama sisi???? Huyu alivuta bangi Gani? Sikanka au?
 
Back
Top Bottom