TANZIA Aliyeshiriki kuchanganya udongo wa Muungano afariki dunia

TANZIA Aliyeshiriki kuchanganya udongo wa Muungano afariki dunia

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Sifael Mushi, mmoja wa Watanzania walioshiriki tukio la kuchanganya udongo wa iliyokuwa Tanganyika na Zanzibar Aprili 26, 1965, wakati wa maadhimisho ya mwaka mmoja wa Muungano, ameafariki dunia. Hii hapa historia yake.

Soma Pia: Aliyeshiriki kuchanganya udongo wa Tanganyika, Zanzibar afariki

Snapinst.app_474561246_18106922413485070_6019431795418775633_n_1080.jpg
 
Hawa ndio wapuuzi waliolirudisha taifa nyuma.
Tanganyika tungekuwa mbali lakini mpaka sasa Tanganyika imezikwa huku Zanzibar iko hai .
Tanganyika huduma za afya kilio
Tanganyika ajira kilio
Zanzibar mambo shwari
 
Back
Top Bottom