TANZIA Aliyeshiriki kuchanganya udongo wa Muungano afariki dunia

Habari njema sana hiyo ...ni wakati sasa wa huu upumbavu wa muungano wa ccm kuvunjwa...
Hujiulizi Kwanini Alaska plus hawaii zipo US?,kikubwa ni Usalama kuliko hata kula samaki toka baharini,yaani ukitaka kupigwa kirahisi toa unguja na Pemba,Wewe unaona ni rahisi but mwanajeshi aliona mbali sana mpk kuwashauri Wazee Nyerere na karume ichukulieni hivyo hivyo kiuwepesi.
Taiwani nako kunagombaniwa baina ya US na China kwakua China ipo karibu sana na taiwani hivi vitu visikieni tu wakisimulia ila Dsm cku moja itageuzwa km Gaza
 
Sifael Mushi, mmoja wa Watanzania walioshiriki tukio la kuchanganya udongo wa iliyokuwa Tanganyika na Zanzibar Aprili 26, 1965, wakati wa maadhimisho ya mwaka mmoja wa Muungano, ameafariki dunia. Hii hapa historia yake.

Soma Pia: Aliyeshiriki kuchanganya udongo wa Tanganyika, Zanzibar afariki

Kumbe huo udongo wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulichanganywa na huyu Mchagga!! Mimi nilikuwa nadhani kwamba Watu walioshiriki kuchanganya huo udongo wa Muungano walikuwa ni Nyerere na Karume!
 
Poleni wafiwa ila muungano tulionao hauna faida kwa tanganyika,zanzibar ndiyo inabebwa na muungano.kwa mtazamo wangu natamani ufe.
 
Hujiulizi Kwanini Alaska plus hawaii zipo US?,kikubwa ni Usalama kuliko hata kula samaki toka baharini,yaani ukitaka kupigwa kirahisi toa unguja na Pemba,Wewe unaona ni rahisi but mwanajeshi aliona mbali sana mpk kuwashauri Wazee Nyerere na karume ichukulieni hivyo hivyo kiuwepesi.
Taiwani nako kunagombaniwa baina ya US na China kwakua China ipo karibu sana na taiwani hivi vitu visikieni tu wakisimulia ila Dsm cku moja itageuzwa km Gaza
Akili za kuchambia za ccm hizi na za wanaume wa dar yani tuogope kazanzibar je nchi kubwa tunazo pakana nazo bila hata kizuizi cha maji unasemaje ...ukisikia shoga kuogopa mende ndiyo huku
 
Hujiulizi Kwanini Alaska plus hawaii zipo US?,kikubwa ni Usalama kuliko hata kula samaki toka baharini,yaani ukitaka kupigwa kirahisi toa unguja na Pemba,Wewe unaona ni rahisi but mwanajeshi aliona mbali sana mpk kuwashauri Wazee Nyerere na karume ichukulieni hivyo hivyo kiuwepesi.
Taiwani nako kunagombaniwa baina ya US na China kwakua China ipo karibu sana na taiwani hivi vitu visikieni tu wakisimulia ila Dsm cku moja itageuzwa km Gaza
Kwa hiyo uoga ndio uliifanya Tanganyika kuomba muungano na Zanzibar ?
 
Hujiulizi Kwanini Alaska plus hawaii zipo US?,kikubwa ni Usalama kuliko hata kula samaki toka baharini,yaani ukitaka kupigwa kirahisi toa unguja na Pemba,Wewe unaona ni rahisi but mwanajeshi aliona mbali sana mpk kuwashauri Wazee Nyerere na karume ichukulieni hivyo hivyo kiuwepesi.
Taiwani nako kunagombaniwa baina ya US na China kwakua China ipo karibu sana na taiwani hivi vitu visikieni tu wakisimulia ila Dsm cku moja itageuzwa km Gaza
Kila lenye mwanzo lina mwisho
 
Back
Top Bottom