Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Huu usiku wa manane unatuletea habari za kilio na msiba. Si ungesubiri hadi kesho. 😡😡😡Sifael Mushi, mmoja wa Watanzania walioshiriki tukio la kuchanganya udongo wa iliyokuwa Tanganyika na Zanzibar Aprili 26, 1965, wakati wa maadhimisho ya mwaka mmoja wa Muungano, ameafariki dunia. Hii hapa historia yake.
Soma Pia: Aliyeshiriki kuchanganya udongo wa Tanganyika, Zanzibar afariki
Acha auze hizo rasilimali, kama tulio hai tunategemea msaada wa marehemu atulindie rasilimali zetu, hatujitambui.Akamwambie mwalimu,kuna mzanzibari anauza mali za Tanganyika.
Anatafuta sababu ya kuchepuka eti ulitokea msiba wa ghafla ikabidi alale huko!Huu usiku wa manane unatuletea habari za kilio na msiba. Si ungesubiri hadi kesho. 😡😡😡
Nyau de adriz
Habari njema sana hiyo ...ni wakati sasa wa huu upumbavu wa muungano wa ccm kuvunjwa...Sifael Mushi, mmoja wa Watanzania walioshiriki tukio la kuchanganya udongo wa iliyokuwa Tanganyika na Zanzibar Aprili 26, 1965, wakati wa maadhimisho ya mwaka mmoja wa Muungano, ameafariki dunia. Hii hapa historia yake.
Soma Pia: Aliyeshiriki kuchanganya udongo wa Tanganyika, Zanzibar afariki
... huyu sio wa mwisho?Wakishapotea wote waliohusika na huu uchawi wa nyerere, na muungano unapotea......
HahahaAnatafuta sababu ya kuchepuka eti ulitokea msiba wa ghafla ikabidi alale huko!
Seems alikuwa kitengo kwa sababu mchagga mwenye akili timamu asingekubali kuhusika kwenye tambika.Hakuna mwenye picha yake akiwa anachanganya udongo? Alikuwa kitengo nini mbona kafia hapo?