TANZIA Aliyeshiriki kuchanganya udongo wa Muungano afariki dunia

Kumbe huo udongo wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulichanganywa na huyu Mchagga!! Mimi nilikuwa nadhani kwamba Watu walioshitiki kuchanganya huo udongo wa Muungano walikuwa ni Nyerere na Karume!
Mkuu John Wickzer Mulholland salaam Kwako.
Mkuu hapo unalalamika kwanini Wachagga walipendelewa au unauliza kwanini kati ya hao wanne wawili walikuwa Wachagga? Ukiangalia hizo picha wanaoneka yamking wote WANNE walikuwa na miaka isiyofika 25, swali linaweza kuwa walichaguliwaje? Kutoka mashuleni au vyuoni(kama vilikuwepo)?
Soma https://www.mwananchi.co.tz/mw/haba...ya-udongo-wa-muungano-na-miujiza-yake-2766082
Ahsante
 
Acha kututisha wewe, mwenye uwezo wa kutupiga atatupiga tu hata kama znz ipo kwenye muungano, mfano US akitaka kutuchapa ndio znz itasaidia tusipigwe?
 
Jina Tanzania limeanza kutumia mwaka gani ?

Jee asili ya neno Tanganyika ni ipi au imetokea kwa wenyeji wep kwa sasa Tanzania?
 
Acha kututisha wewe, mwenye uwezo wa kutupiga atatupiga tu hata kama znz ipo kwenye muungano, mfano US akitaka kutuchapa ndio znz itasaidia tusipigwe?
Rudi ukasome vzr security of any country ndio Uje bishana
 
Waliiroga Tanganyika yetu na kuwa zezeta mbele ya zanzibar.mfano ajira zinapotoka Tanganyika inadidi kutoa asilimia 21 ya zanzibar.yaani kisiwa Cha watu milioni Moja na nusu tuwape asilimia 21 dhidi ya asilimia 71 ambayo Ina idadi ya watu milioni 64.Wakati huo ajira zikitoka Zanzibar hakuna hata mtanganyika mmoja kuajiriwa kwenye hiyo serikali.Kingine Cha kijinga Cha huu muungano ambao Hawa wazee waliwaroga watanzania ni kuwafanya wawe mazezeta kwenye ardhi.Mzanzibar ruksa kumiliki eneo Tanganyika na si mtanganyika kumiliki Zanzibar ni marufuku.
 
Acha kututisha wewe, mwenye uwezo wa kutupiga atatupiga tu hata kama znz ipo kwenye muungano, mfano US akitaka kutuchapa ndio znz itasaidia tusipigwe?
I’m not affiliated to any political party in your country but I’m understand why those founders did that because I have more exposure to international diplomacy that what you understand
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…