Aliyesoma CBG naweza kusomea Medicine?

Unaweza kutumia matokeo ya kidato cha nne kusoma diploma ya clinical medicine kama una c ya bilogy c ya chemistry name d ya physics.cheki name jamaa WA city college of health and Allied sciences kwa 0769566282

Asante
 
Anhaaa...
Hiyo prosthetics and orthotics ni sayansi ya mifupa na viungo bandia, so unapiga kazi sawa na Dr lkn wewe utaspecialize specifically ktk mifupa+viungo bandia...
Niliacha hiyo kozi, sasa hivi najilaumu usiku na mchana.
Kama hujali tuambie ulisoma kozi gani,dhumuni langu inaonekana ww ni mtu wa afya nataka nilinganishe kozi uliyopo na hii unayoijutia.

Sijafanya utafiti,hii sayansi ya viungo kwetu Tz watu wameipokea,,na vipi jeshini inakubalika(kama nitabahatika kuwa daktari natamani nilitumikie jeshi langu kwa kutoa tiba kwa wapiganaji/walinda amani wetu.
 
subiri wanakuja ila amini nilchokwambia pia MD&NURSING kairuki&imtu unapata ila usjarbu kiu hapo maji ya shida

Kwa nini KIU ni maji ya shida,tafathali ufafanuzi,,unaweza kuni pm kwa msaada zaidi
 


Mkuu wapi nimesema najutia course niliyopo???

Sijawahi kujutia kusoma kemia ya gesi na mafuta, lkn naumia kuacha kusoma kada ya afya, coz hiyo ndio ilikua field of my dreams, sasa hivi habari ya mujini ni Petroleum mkuu...

Kuhusu sayansi ya tiba ya mifupa, it's obvious haikwepeki kwenye mzunguko wa maisha, ajali kila kukicha, magonjwa chungu mzima nk nk, orthopadeic istitute hapo muhimbili (MOI) ndio kazi zao hizo...
Jeshini utakua lulu sana, tena kule watu wanavunjana ka toothpick, ukitoka zako TMA unakula uMajor 1 kwa 1, maswala ya uluteni na ukapteni kwako hutasikia.
 
 
Ni ngumu sana mkuu kama huna physics, ila kwa mujibu wa nacte kama una clinical officer na form 4 ulipiga fresh utapata kwa vyuo kama IMTU,KIU na Kairuki. Ila kwa Bsc in lab tech na nursing kwa CBG unapata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…