Mkuu wapi nimesema najutia course niliyopo???
Sijawahi kujutia kusoma kemia ya gesi na mafuta, lkn naumia kuacha kusoma kada ya afya, coz hiyo ndio ilikua field of my dreams, sasa hivi habari ya mujini ni Petroleum mkuu...
Kuhusu sayansi ya tiba ya mifupa, it's obvious haikwepeki kwenye mzunguko wa maisha, ajali kila kukicha, magonjwa chungu mzima nk nk, orthopadeic istitute hapo muhimbili (MOI) ndio kazi zao hizo...
Jeshini utakua lulu sana, tena kule watu wanavunjana ka toothpick, ukitoka zako TMA unakula uMajor 1 kwa 1, maswala ya uluteni na ukapteni kwako hutasi
Hahaha!!! umenifurahisha u meja 1 kwa 1,,,hata hivo aksante kwa info nimeweka chaguo la 4 kutoka bpharm na md