njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Ndio, ni zee 10% (hapana hili ni 90% kabisa), bado lina wapambe wake wakiwemo makanjanja na hata majuzi lilihojiwa na redio moja ya FM likamkandia sana CEO Barbara Gonzalez.
Lengo lao kubwa ni yule dada aondoke, sasa anaondokaje ni kumuabisha kwa matokeo haswa mechi vs utopolo, sasa angalia mazingira ya wiki hii ilivyoenda ndipo ujue wazee wa iwe jua iwe mvua watacheza mbinu chafu zao tena.
wako hatarini kutolewa kwa kipigo cha aibu huko Sudan, na Simba iko mguu mmoja kuingia makundi. Hawatakubali kupigwa na Simba tarehe 23. Hapo ndipo wasaliti wenye nguvu ndani ya Simba watakapotaka kumuaibisha CEO anayewazuia kucheza dili zao chafu chafu ikiwemo kunyimwa mkataba wa majezi yale mabaya yaliyokuwa yamejaa bandia.
Sasa kwa msiyojua wakati Simba anaingia makundi 2003 kwa kumtoa bingwa mtetezi Zamalek ya Misri ambayo wiki kadhaa nyuma ilikuwa imetoka kuwafunga Real madrid ya kina Beckham kwenye Klabu Bingwa ya Dunia kuna zee la 10% lilifika dau la kuuza mechi, kocha Mkenya marehemu Siang'a akakomaa kukataa katakata.
Yaliyobaki ni historia, Zamalek alitolewa kwa mikwaju ya penati Simba akaingia makundi, hilo zee bado lipo lina wapambe wake kwwnye media na bado lina hasira sana ya madili yake kubanwa na Barbara.
Tuatendelea kusema tutasema hadi haya majitu yatafute namna nyingine za kupata hela siyo ujinga na sabotage wanzofanya haswa kwenye mechi za utopolo*.