Nasema Uongo Ndugu Zangu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 279
- 779
Kwahiyo leo ni siku ya selfie?Mtahesabiwa huko huko bar & guest house
Itakuwa ni kughafilika na wenge taslimu la tozo. Wameyakanyaga.Kwa mujibu wa Mama Anne Makinda, Zoezi litaendelea kwa Siku 7, yaani endapo hukufikiwa Leo, utafikiwa siku zijazo, sasa ni nini mantiki ya kupumzika leo?
Tumeambiwa tupumzike ili tupate muda wa kuona picha za viongozi wakihesabiwa?
Haya kesho inafika saa 11 tunaingia barabarani kupambana na foleni kuelekea kazini, tukitoka kazini tunaelekea Bar mpaka saa 6 tunarudi kulala.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nahisi zoezi litachukua muda sana maana toka nimetoka kijichi hadi hapa magomeni nimemuona karani mmoja tu kwenye banda la mama lishe anakula ubwabwa
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Yaani ni usanii sanii tu fulani ivi ws kidwanziIlikuwa ina maana gani kuifanya siku ya leo kuwa mapumziko..... Kumbe hesabu ni 15% tu kwa siku nchi nzima, ina maana hata wiki haitoshi itabidi waongeze siku. KUMBE MH. MAKINDA ALILIJUA HILI NDIO MAANA ALIKATAA MAPUMZIKO.
Nilikuwa sijazaliwa. Nasikia enzi za mwinyi. Ni utoto uliopitiliza.Haipo wala hakuna maana. Kesho kama kawaida na sensa inaendelea.
Kuna miaka sikukuu ikiangukia week end ilikuwa inasogezwa ilimradi tu tusifanyekazi. Kukopa tunapenda
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app