kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Haya mapunziko yaliwanufaisha wachache sana. Nilishinda nyumbani siku nzima masaa 24 siku ya senza iliyotangazwa kwa nguvu nyingi sana kusubiri kuhesabiwa mimi na familia yote bila kuhesabiwa. Lakini nimepigia simu ndugu, majirani na marafiki mikoa mbalimbali nao wakasema hawakuhesabiwa. Ni nani kahesabiwa siku ya kuhesabiwa?
Binafsi ni hatari kwangu kuachia watoto na house girl taarifa zangu nyeti zinazonihusu mimi na familia yangu ili waje wazitoe kwa makarani wa sensa, hata kama iweje sintafanya hivyo. Kwanini mapunziko yasingekuwa kwa siku saba basi? kwanini mapunziko yasingekuwa kwa mikoa basi ili zoezi liishe kwa siku moja ya mapunziko? kwanini makarani hawakuwa wengi?
Haya mapunziko yamewanufaisha akina nani kama sio uharibifu wa rasilimali za taifa.