Aliyetarajiwa Kuweka Mfano Mzuri kwa Wanawake Kuwa Viongozi, Ageuka na Kuwa Dikteta Hatari.

Aliyetarajiwa Kuweka Mfano Mzuri kwa Wanawake Kuwa Viongozi, Ageuka na Kuwa Dikteta Hatari.

Hamatan

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2020
Posts
7,840
Reaction score
18,115
Siongezi neno:
"Mwanamke aliyetarajiwa kufungua njia kwa wanawake wengine kuwa viongozi Afrika, kwa mshangao mkubwa, amegeuka kuwa dikteta hatari, na kuweka kiwango kipya cha udikteta, kiasi cha kumfanya M7 kuonekana ni mtakatifu"

"A woman who was expected to open new frontiers for women leadership in Africa has -- shockingly -- become a ruthless dictator, setting new benchmarks and making Uganda's M7 look like a saint".
Naona haya ndipo wanawake walipofikia. Je, hii ndiyo tafsiri ile ya wanawake tukiwezeshwa, tunaweza?
 
Mfumo mfumo..!!
Na hii tabia ya kutaja vitu sio values chama kile kinajifia kifo cha mende tumebakia tu tunatumia nguvu kubakia kwenye dola
 
Back
Top Bottom