Mambo yanaenda kwa spidi sana, hata barua ya uteuzi mteuliwa aliyekuwa balozi meja jenerali hajatajwa kwa cheo hicho cha ziada cha kibalozi
22 May 2023
RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI wa MABALOZI NANE, JENERALI MWAISAKA, JENERALI SIMULI, BYAKANWA na WENGINE
View attachment 2759523
Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo Meja Jenerali Simuli alikuwa Mkuu wa Utumishi Jeshini (JWTZ).
View: https://m.youtube.com/watch?v=5PEPm9ErW2I
Rais Samia akimuapisha Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli, kuwa Balozi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 16 Agosti, 2023![]()
Updates :
23 September 2023
hours ago — Taarifa kwa umma iliyotolewa inaeleza kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli kuwa Mwenyekiti wa bodi ya TANESCO.
Aibu naona mimi