Aliyetenguliwa Julai Temeke arejeshwa Septemba Mtwara

Aliyetenguliwa Julai Temeke arejeshwa Septemba Mtwara

Sasa kama nyie hamtaki kuunga Juhudi unadhani CCM itapata wapi Vijana wachapakazi!

Wabunge tu ilibidi Shujaa Magufuli awachukue kwa nguvu wale Covid-19 wa Ufipa st 😂😂🔥🐼
Hehehee......ila kweli lakini ndio kusema huko Lumumba Fc wameisha?
 
Tunaposema kwamba CCM imeishiwa watu muwe mnaelewa, haiwezekani mtu atenguliwe kwenye U DC mwezi July na kuchafuliwa kila kona, halafu huyo huyo arejeshwe tena baada ya miezi miwili tu.

Hii maana yake ni kwamba nyie wapiga kelele humu JF mkiongozwa na johnthebaptist na mchumia tumbo Lucas mwashambwa hamufai hata kwa kulumangia, nyinyi mtabaki kusifia mauzo ya bandari tu.

Siwahurumii hata kidogo nyie.

View attachment 2759472
Kwani hukumuona Chalamila?
 
Akina Kipara kipya hadi wamechoka sasa wamekimbia vita.

Haiwezekani Nchi nzima lakini teuzi ni watu wale wale. Hata akifukuzwa huku wanasubiri nafasi nyingine wampeleke kule as if hakuna watu wengine.

Cc Maharage Juma Pumba.
Yaani utasema hakuna wengine wenye sifa stahili isipokuwa hao hao waliopo.

Ndiyo maana kipindi kile cha Mwendazake kuteua kutoka Upinzani kiliwauma wengi
 
Back
Top Bottom