Aliyetenguliwa Julai Temeke arejeshwa Septemba Mtwara

Aibu naona mimi
 
Zimwi likujualo halikuli likakwisha. Ukiingia kwenye system huwezi lala njaa, mnabadilishana tu.
 
JamiiForums imeweza ku adapt kasi ya mabadiliko ya kiteknolojia kuweza kupata habari sahihi, inabidi vitengo vya serikali vya mawasiliano na pia uteuzi kwenda na kasi hiyo

TOKA MAKTABA:
JENERALI ULIMWENGU KATIKA MADA YA TEHAMA NDANI YA ULIMWENGU WA SASA


View: https://m.youtube.com/watch?v=ZLf2xtmCzFgJenerali Ulimwenguni anasema sasa mambo yanakwenda kwa kazi ya teknolijia ya habari na mawasiliano TEHAMA hivyo utendaji kazi mahali popote na pia elimu inayotolewa shuleni iendane na mabadiliko.

Speech of Jenerali Ulimwengu, Journalist and publisher, political commentator and active member of civil society, Dar es Salaam, Tanzania, at eLearning Africa 2nd August 2011. More at www.elearning-africa.com
 
Ipo sawa, maana Watanzania wenye sifa wameisha, ulitegemea atawapata wapi wengine kama siyo kufanya recycling?
Kwa huyu mama nchi imepigwa hiyo.
 
Utaachana nayo Kwa tume ipi na katiba gani? Tulieni tu dawa iingie.
Msidhani watawala waovu huwa wanaandika katiba mpya bali wananchi ndio wanapaswa kudai katiba.
Uchaguzi wa 2024 na 2025 mbinu zote za kuiba kura zitathibitiwa kwa uhakika. Haitawezekana kumtangaza mshindi ambaye hajashinda, uchafuzi wa 2020 hautajirudia.
 
Vyeo vya CCM vinahitaji Network na Kujuana, kama haupo kwenye circle yao utaendelea kulipwa buku 7 hadi Unazeeka [emoji119]
Lucas Mwamshamba ameamua kuuza mpaka utu wake ilia atupiwe japo utendaji wa kata, lakini wapi! Anaendelea kuweka namba yake ya simu kila siku lakini hatupiwi japo makombo!!

Lucas Mwamshamba, kama hajaoa, angejitahidi amtafute hata mpwa wa Samia, amwoe. Hiyo ingekuwa sifa tosha ya kuwa hata mkuu wa mkoa.
 
Umenena vyema mkuu, jamaa atatumiwa na kutupwa kama karatasi tu
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Unaweza kutumbuliwa,baada ya uchunguzi wa kina vyombo vya juu vikagundua hakukuwa na makosa,
 
Huyu Maza mdini sana. Pitia mageuzi yake ya Leo. 78% ni WA msikitini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…