Aliyetenguliwa Julai Temeke arejeshwa Septemba Mtwara

Sasa kama nyie hamtaki kuunga Juhudi unadhani CCM itapata wapi Vijana wachapakazi!

Wabunge tu ilibidi Shujaa Magufuli awachukue kwa nguvu wale Covid-19 wa Ufipa st πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯🐼
Hehehee......ila kweli lakini ndio kusema huko Lumumba Fc wameisha?
 
Kwani hukumuona Chalamila?
 
Akina Kipara kipya hadi wamechoka sasa wamekimbia vita.

Haiwezekani Nchi nzima lakini teuzi ni watu wale wale. Hata akifukuzwa huku wanasubiri nafasi nyingine wampeleke kule as if hakuna watu wengine.

Cc Maharage Juma Pumba.
Yaani utasema hakuna wengine wenye sifa stahili isipokuwa hao hao waliopo.

Ndiyo maana kipindi kile cha Mwendazake kuteua kutoka Upinzani kiliwauma wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…