Aliyetishia kumuua Lukuvi akamatwe na kuhojiwa

Kwa kutumia sanduku la kura πŸ˜„ na walimkataa huko siyo akarudishwa kwa mlango wa nyuma

Ova
Neno "kumuondoa" ni nahau na tayari wahalifu wametimiza azma yao ovu ya kumuua Lukuvi. Lazima wakamatwe na kufunguliwa mashtaka ya kuua kwa kukusudia. Adhabu kwa muuaji ni kunyongwa hadi kufa; no shorcut.
 
Jimbo n la mtoto wa lukuvi kwan kwa jenista lukuvi na zungu la unga s walisema jimbo la mtoto wa jeni

Bas na isiman n jimbo la mtoto wake marehemu kikubwa azingatie rushwa ndogo isiwe kuuuuuubwaaa
 
Ndio... Kilikuwa kipindi cha Kampeni.. Kumstaafisha ni kumnyia kura. Wakamnyima kweli
Mkuu naomba unielewe vema. Kumstaafisha=kumuua. Hawa wahalifu wakamatwe mara moja na kushtakiwa.
 
Kwa kuwa alisema atamstaafisha kwa "nguvu" na ametumia nguvu hizo kumuua, anayo kesi ya kujibu mkuu.
Ndio maana nikakuuliza alimaanisha nguvu zipi? ila naona umekosa jibu,
Mahakami ni tofauti kabisa unavyofikiria wewe.
 
Jimbo n la mtoto wa lukuvi kwan kwa jenista lukuvi na zungu la unga s walisema jimbo la mtoto wa jeni

Bas na isiman n jimbo la mtoto wake marehemu kikubwa azingatie rushwa ndogo isiwe kuuuuuubwaaa
Hilo litakuja baada ya kuwaadabisha wauaji mkuu. Naomba kwanza tu deal na hawa wapuuzi waliomuua Lukuvi.
 
Ndio maana nikakuuliza alimaanisha nguvu zipi? ila naona umekosa jibu,
Mahakami ni tofauti kabisa unavyofikiria wewe.
Kumstaafisha maana yake ni kumuua mkuu. Hawa wahalifu wana kesi ya kujibu.
 
Wewe Mrwanda umehamia Isimani lini tena?
 
Wewe Mrwanda umehamia Isimani lini tena?
Mimi ni mwanaIsimani na nilimpigia kura mbunge wangu, William Lukuvi. Ndio maana nina uchungu kuhusu hawa wahuni waliomuua kwa kukusudia.
 
Mkuu ina maana hujasikia huyo kibonge alichosema kwenye clip au unajitoa ufahamu kwa makusudi?

Hamna kitu huyu alishajichokea kaka, hayo maneno ni ya kisiasa na ni coincindence tu hata asingesema hiki chuma chakavu kingekata moto tu siku ilifika, wanaambiwa wapumzike wakati bado wana nguvu wanajifanya wao ni special sana kwamba hamna anayeweza kuendesha nchi wasipokuwepo. So akaendeshe firdaus pia akamkute jiwe ni kiranja kule alisema mwenyewe
 
Hata wewe utakufa tu mkuu hiyo ni njia ya wote, ukizaliwa lazima kufa.
 
Hata wewe utakufa tu mkuu hiyo ni njia ya wote, ukizaliwa lazima kufa.

Kwani nimesema sifi? Umeelewa mada mkuu au unakurupuka tu kwa kuwa huna desa? Heart attack inamkuta binadamu yoyote muda wowote hata mimi so huyu hakuwa na exemption, msianze kutafuta mchawi wakati mzee kashatumika vya kutosha mwacheni akapumzike
 
Kifo ni kifo......
 
Wangapi wametoa kauli kama hizo na hatujawahi kuona wakiwajibishwa?? Husimchongee mh. dc!
 
Wewe hujui sheria..
.una equate kumuondoa na mitamuua!
Hapo sheria haihusiki mkuu. Hiki nikiswahili cha kawaida tu. Neno nitamuondoa ni sawa na nitamuua. Hiyo ni nahau.
 
Wangapi wametoa kauli kama hizo na hatujawahi kuona wakiwajibishwa?? Husimchongee mh. dc!
Hayo maneno ni mimi nimemuwekea mdomoni mkuu? Mbona Tundu Lissu alisema maneno kama hayo na sasa yupo gerezani kwa uhaini? Je, matamshi aliyotamka huyu jamaa yanatofautianaje na uhaini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…