Aliyetishia kumuua Lukuvi akamatwe na kuhojiwa

Aliyetishia kumuua Lukuvi akamatwe na kuhojiwa

Hii kauli ya "tutamstaafisha kwa nguvu" ya huyu tumbotumbo bonge ina tofauti yoyote na "tutakinukisha kwelikweli" ya Tundu Lissu...?

Obvious, hakuna tofauti....!!

Kauli zote hizi mbili zinaangukia ktk kundi la "sentensi tata" au "ambiguous sentence" kwa lugha ya malkia...

Kwanini...?

Ni kwa kuwa zote zimebeba dhana ya "ambiguity", kwa maana kuwa kila mtu anaweza kuitafsiri aonavyo yeye, lakini aliyeitoa ndiye anabaki na maana halisi moja tu kulingana na muktadha wake..

Kisheria, kauli kama hizi haziwezi kum - incriminate mtoaji kwa sbb ukimpeleka mahakamani, atakuambia kauli haikuwa na maana uliyonayo wewe, bali nilikuwa na maana hii___________

Ndicho kilichotokea kwa kauli ile ya Tundu Lissu ambapo wahuni wa CCM na serikali yao waliweka tafsiri yao, wakaipa dhana ya UHAINI, wakamshitaki jamaa na leo TL yuko gerezani kwa takribani mwaka sasa huku wakiwa wanautafuta uhaini ndani kauli hiyo kwa torch, wameshindwa kuuona na mwisho wa siku hawa washenzi wanaotuhumu na kushitaki ndo wamegeuka kuwa ndio wahaini...!!

Ndio ni wahaini hawa...

Kwa kuwa MO29 ndio walioua maelfu ya wananchi wasio na hatia, wakajipa mamlaka ya kiserikali kwa nguvu kwa kupora kwa nguvu sovereignty ya umma ya kuchagua viongozi wa kuunda serikali yao...!

Kupora mamlaka ya umma ndio maana halisi ya UHAINI. Samia Suluhu Hassan na wahuni wenzake ni WAHAINI. In due time, watawajibika tu kwa makosa yao!!
Umemaliza kila kitu mkuu.
 
Hapo napo ni tatizo pia mkuu. Lakini kwanza huyu mpuuzi akamatwe na kushikizwa adabu kwa kumstaafisha Lukuvi kinyume cha utaratibu.
Mbona kwenye mitandao ya jamii asilimia kubwa ya watu wamefurahi kiasi kwamba huyu jamaa akiomba mchango anaweza kupata mabilioni ya fedha ikiwa kweli ndiye yeye aliyemstaafisha?
 
Mbona kwenye mitandao ya jamii asilimia kubwa ya watu wamefurahi kiasi kwamba huyu jamaa akiomba mchango anaweza kupata mabilioni ya fedha ikiwa kweli ndiye yeye aliyemstaafisha?
Lakini anapaswa kuwa makini. Akijitokeza tu, CCM watamuua. Aendelee tu kuuchuna.
 
Kiswahili kigumu hata kwa waswahili...

Naona kesi unayoilazimisha itafanana na hii anayokabiliana nayo Lissu kwa sababu tu ya kuhangaika na tafsiri za Kiswahili zisizo sahihi...
 
Kauawa na nani? Una ushahidi?
Kauawa na huyo bonge nyanya. Ushahidi upo kwenye video. Hebu rudia kusikiliza video kwa umakini mkuu.
 
ukigoma kistaafu kwa hiyari lazima ustaafishwe kwa lazima,
safi sana

miaka 30 bado umekomaa tu km sio uroho wa madaraka ni nini
 
ukigoma kistaafu kwa hiyari lazima ustaafishwe kwa lazima,
safi sana

miaka 30 bado umekomaa tu km sio uroho wa madaraka ni nini
Na yule bonge nyanya aliyemstaafisha lazima tu deal naye
 
Habari wanabodi

Hebu msikilize huyu mtu anavyotamka hadharani kumdhuru waziri William Lukuvi. Inabidi akamatwe na kuhojiwa vizuri kwanini aliamua kumuondoa mzee wa watu kwa nguvu bila kufuata utaratibu.

Sitaki kukuchosha sana. Hebu msikilize wewe mwenyewe mkuu.
​

View attachment 3562907

MAONI YANGU
Awali ya yote napenda kutangaza maslahi kwamba mimi ni mkazi wa jimbo la Isimani na mpigakura wa marehemu Lukuvi.

Huyu kibonge ambaye ana mwili mkubwa kama tembo lakini akili ndogo kama mbegu ya haradali, lazima akamatwe na kufunguliwa mashtaka kwa kusababisha mauaji ya mbunge wetu pendwa.

Asipokamatwa, nitawahamasisha wanaIsimani tuandamane hadi ikulu kudai uchunguzi huru wa kifo cha mbunge wetu. Hatutakubali mbunge wetu afe kikondoo wakati waliotangaza kumstaafisha (kumuua) wapo mtaani wanaendelea kula ugali bila kuguswa.
​
"Kifo ni kifo tu" - Samia Suluhu Hassan.
 
Mbona maelezo yako uliyoandika na maneno yaliyozunguzwa kwenye hiyo video hayaendani kabisa,hakuna mahali alipotaja mambo ya kuua hapo.
Yale maneno yake ni majigambo tu ambayo ni kawaida sana kwenye mambo ya kisiasa wewe mwenzetu umetafsiri kuua.
Ushabiki mwingine hauna faida kabisa.
Ukikurupuka kwenda kumshitaki anakushinda mapema sana kisha baadae anakugeuzia kesi ya kumpotezea muda wake umlipe fidia kuwa makini sana mkuu kwenye vitu kama hivi,hivi vitu sio kama ushabiki wa simba na yanga.
 
Mkuu mbona Tundu Lissu yupo gerezani kwa kosa la "kukinukisha" ambalo limetafsriwa kama "uhaini"? Kama kukinukisha ni uhaini na kumuondoa ni kuua.
 
Mkuu mbona Tundu Lissu yupo gerezani kwa kosa la "kukinukisha" ambalo limetafsriwa kama "uhaini"? Kama kukinukisha ni uhaini na kumuondoa ni kuua.
Kesi ya Tundulisu ni complex na inahusisha mambo mengi ila usinitafsiri vibaya mimi sina ushabiki wa chama chochote huwa naangalia logic tu na kureason haijalishi ni mtu wa chama gani kasema.
 
Kesi ya Tundulisu ni complex na inahusisha mambo mengi ila usinitafsiri vibaya mimi sina ushabiki wa chama chochote huwa naangalia logic tu na kureason haijalishi ni mtu wa chama gani kasema.
Kesi ya Tundu Lissu ina mambo gani complex yaliyo nyuma ya pazia mkuu. Hebu tusanulie japo kidogo.
 
Back
Top Bottom